Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Huu ujinga peleka huko huko kwa wajinga wenzako mkaelimishane. Hapa kuna watu wenye kujielewa.
 
Kutokana na issue ya covid Tanzania imepata umaarufu mkuu
Sio kila kitu kilicho katika internet ni cha kweli. Global intelligence na foreign intelligence ni account ya nani? Iko verified?

Mbona hata mimi naweza kufungua tweeter account kisha nikatunga habari kama hio, hata wewe kama unatumia tweeter unaweza tunga chochote kile. Internet ina uchafu na uongo mwingi sana. Unaifahamu namba ya 4bln lakini?
 
Ndio Bwana Mzalendo;
Wewe je, umeshachemsha TANGAWIZI,MAVI YA NG'OMBE,SHUBIRI NA MICHONGOMA BILA KUSAHAU MKOJO WA PUNDA,ukanywa mara tatu kwa siku ili upone corona?.
Umesahau na Majani ya Bangi!!
 
Dogo shikamoo

Humu nchini kuna vilaza wanajaa kiroba na mheshimiwa kasimu anatumia ukilaza wao kudanganya.
Dunia ina watu BILIONI 7.

Kati ya hao BILIONI 6 hawaijui kabisa Tanzania wala Magufuli.

Hao Bilioni 1 wanaobakia kuna vichaa, watoto, watu wa vijijini wasio na tv wala umeme, wanafunzi ambao muda huo walikuwa darasani n.k

NAMBA HAZIDANGANYI.
 
Chuki
Dunia ina watu BILIONI 7.

Kati ya hao BILIONI 6 hawaijui kabisa Tanzania wala Magufuli.

Hao Bilioni 1 wanaobakia kuna vichaa, watoto, watu wa vijijini wasio na tv wala umeme, wanafunzi ambao muda huo walikuwa darasani n.k

NAMBA HAZIDANGANYI.
 
Okay sahihi kwa hy hata hawa habari hii haikuangaliwa na watu?
Your browser is not able to display this video.
 
Basi global intelligence na foreign intelligence ndiyo waongo. Maana wao walitoa hizo data jana. Live streaming za YouTube nazo zinakuwaga za uongo kumbe. Maana Kuna mwanamuziki alipata viewer 7.8 billion inamaana dunia mzima ilimuangalia?
Tofaitisha viewers na views.
YouTube hua wanaweka views.
 
Hii ni hapa ya juzi. Jemedari amevutia watu wengi duniani kwa uchapakazi wake! Haya pingana na hawa mabeberu!!
View attachment 1732537
Nikusahihishe kidogo mkuu ,Magufuli alivutia watu wengi duniani kutokana na misimamo ya kijinga juu ya korona ikiwa ni pamoja na kutangaza kwamba nchi yake haina korona,sasa kilichovuta wengi ni baada ya kuondolewa na hyohyo korona ko lazima watazamaji wawe wengi lakini sio nusu ya dunia
RIP Magu
 
Na foreign intelligence wamesema ya Magufuli imeipiku ya MJ na Princess Diana
Hao foreign intelligence ni akaunti ya nchi gani?

Mpka sasa wamekwisha toa takwimu ngap za kuaminika?

Yaani akaunti inayotoa data za kuaminika kiasi hicho iwe na followers 400 and not verified?


Yaani kwa vile inaitwa jina la kizungu ndo imekua reliable source of information?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
 
Ni aibu kwa mtu mwenye cheo cha Uwaziri mkuu kutumia data ambazo ni za kugushi mitandaoni.
 
Dunia ina watu BILIONI 7.

Kati ya hao BILIONI 6 hawaijui kabisa Tanzania wala Magufuli.

Hao Bilioni 1 wanaobakia kuna vichaa, watoto, watu wa vijijini wasio na tv wala umeme, wanafunzi ambao muda huo walikuwa darasani n.k

NAMBA HAZIDANGANYI.
ndio wameijua sasa...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…