Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Huo ni utaratibu wa kawaida kwa nchi iliyo vitani na viongozi wake wakubwa kuuliwa, lazima wengine waendelee. Ila kwa nchi ambayo ina migogoro ya ndani pamoja na uzoefu wa kupokea amri kutoka kwa kiongozi mmoja, hii inaweza kuwa na changamoto.
 
Watu bado wanajidanganya kwamba IRGC wanashinda. 🤣


Hebu nikupe picha ndogo ya kile wanachokiita ushindi:
Khamenei ameuawa
Larijani ameuawa
Shamkhani ameuawa
Mousavi wa Makao Makuu ya Jeshi ameuawa
Pakpour wa IRGC ameuawa
Soleimani wa Basij ameuawa
Aziz Nasirzadeh wa Ulinzi ameuawa
Asadi wa Idara ya Ujasusi ameuawa
Hossein Salami wa IRGC ameuawa
Hajizadeh ameuawa
Shekian wa Ulinzi wa Anga ameuawa
Mohammad Bagheri wa Makao Makuu ya Jeshi ameuawa
Rashid wa Kituo cha Khatam ameuawa
Shadmaneh wa Q. Khatam ameuawa
Kazemi wa Ujasusi ameuawa
Mohaghegh wa Ujasusi ameuawa
Mohrabbi wa Ujasusi ameuawa
Rabbani wa Operesheni ameuawa
Rezaeian wa Faraja ameuawa
Bagheri wa Makombora ameuawa
Shirazi wa Bit ameuawa
Qasem Soleimani ameuawa
Mohammad Reza Zahedi ameuawa
Abbas Nilforoushan ameuawa
Hossein Hemdani ameuawa
Mazafari Nia (Nyuklia) ameuawa
Jabal Ameli (Nyuklia) ameuawa
Fakhrizadeh (Nyuklia) ameuawa
Borji (Nyuklia) ameuawa
Tehrani Moghadam ameuawa
Na Israel haina mpango wa kusimama.
Kama wasingekuwa wamejengewa imani kali ya itikadi ya Kiislamu, wangeweza kukubali kushindwa.

Lakini hilo halitatokea, hivyo Israel na Marekani wataendelea kushinda.


Hii ni orodha ya kushangaza sana kwa kweli ya kuvutia kupita kiasi.


Na bado hata hatujataja viongozi wote wa Hezbollah, Hamas na Islamic Jihad waliouawa na Israel.
Hata nafasi isingetosha kuwaweka wote kwenye mchoro mmoja! 💪🇮🇱🇺🇸💥
 
Maneno ya kujifariji tu hayo kuuwawa kwa viongozi ni pigo kubwa kwa nchi na uongozi wake!!!

Nani a kudanganya Iran wana four immediate successors? Au ndivyo mnavyodanganyana huko Madrasa?

Succession-Plan si rahisi kama unavyofikiria wewe huyo Gaidi auwawa ninyi Endeleeni tu kujifariji kuficha maumivu mnayopitia!!!
 
Acha kulialia na kujifariji!!! Aliyekudanganya Iran na Israel wana level nne za kuhamisha a madarakani ni Nani? Wapi imeandikwa?

Umefuturu gumbo limeshiba umekuja hapa kutuletea UHARO wa kijinga!!! Narudia tena Succession Plan si rahisi hivyo kawadanganye huko kwenye misikiti yenu lakini Kipondo kwa Iran kiko palepale pamoja na kwamba mna Toa milio sana!!!

Unaweza kuniambia kwa nini vita hii haina malengo wa kidini? Kama wewe unadai haina malengo huo!!
 
Najua unaongea Kwa mhemko au jazba ama tuseme hasira nyingi, sitaki kubishana na ww maana sipendi kubishana kwasababu hakuna Faida inayopatikana, Kwa akili yako najua unafikiri kama vile Hapa tunashindana, najua unachokipigania kwenye maandishi yako...Basi tufanye ulichosema kulingana na maandishi yangu ni sahihi ili basi uwe MSHINDI. Wewe umeshinda🤝
 
Watawauwa Sana.
 
Uko sahihi huyo hajui chochote kazi yake ni kushabikia
 
Acha kuwafanya watu wajinga kama wewe Nimekuuliza imeandikwa wapi? Najua sasa unatafuta kichaka cha kujificha kuficha uongo uliouweka hapa.

Watu wajinga kama wewe ndiyo wanaoliharibu Jukwaa hili kwa habari mnazozileta za kwenye vijiweni vya Kahawa.

Siku nyingine ukiwa kwa kitu hapa uwe na evidence siyo kuja hapa na story za kwenye Kahawa!! Najua lengo lako ni kufifisha kipondo na mauaji ya viongozi wa Iran!!!

Hata kama utawaramba Makalio vipi huwezi kupiga kuwa viongozi wao wanauwawa na ni pigo kwa Taifa!!
 
Nilishakujibu kule juu kuwa ww ni mtu wa jazba na mihemko, unataka kushindana ilihali hakuna Faida, ni ngumu kufanya mijadala na watu kama wewe maana Una unazi, watu wa Aina yako ni ngumu kuweza kuchambua mambo bila kuegemea upande. nishaijua akili na Nia yako hivyo basi nasema kuwa tufanye wewe ni MSHINDI UMESHINDA 🤝.
 
Kama ukijua Mimi ni mtu wa Jazba basi wewe ungetoa Facts zako ili Mimi nionekane muongo!!!

Lakini umeshindwa kuleta Facts maana ulitaka kupotosha watu humu kwa maneno yako hayo ya uongo. Unaaminisha watu uongo kwa maneno ya kwenye Kahawa ukibanwa udhibitishe uongo wako unasingizia watu wana Jazba!!!
 
Nishakujibu kule juu, wewe ni mtu wa jazba na mihemko, nishaijua akili yako na Nia yako, watu wa Aina yako si watu wa kujadiliana nao Kwa kina....Nakutangaza kuwa umeshinda, wewe ni MSHINDI.
 
Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.

IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.View attachment 3558976
Eti SURVIVED!!! Wana wa Israel hawafanyi vitu kitoto wao hufanya kweli huyu lazima wamepita naye!!

Huyu ndiye baada ya Majitaka Khamenei kuumizwa vibaya hapo Feb 28,2026 Huyu ndiye alichukua mikoba yake sasa kaliwa kichwa kwa hiyo Majitaka Khamenei bado sana anayo kazi ya kujificha kama Nungunungu huko aliko!!!

View: https://x.com/mossadil/status/2033912180635013435?s=61
 
Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.

IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.View attachment 3558976
Huyu ndiye anayehisiwa kuwa ni MOLE?
 
Afu uzuri wa Iran hawaogopi kufa wanafahamu wazi dunia ni mapito tu bora ufe una akili zako sawa sawa, macho yako sawa, unasikia sio ubaki duniani afu badaye unaushia kusumbuka huoni sijui husikii au mpaa ulishwe au uwoshwe.

Kuwa Muislam ni nema mwenye kuogoba kufa ni Mkanisa na Washika ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…