Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani


Nyuso zipi sheikh wangu. Weka picha zao? Au ndo maneno ya sheikh kitinku?
 

Khayatollah asingekuwa analindwa na. Kuishi mashimoni kama panya.
 
Kama hawaogopi kufa mbona wanajificha kwenye Mashimba Kama Nungunungu?
 
Al Jazeera: The new Iranian leader is.....never mind......we'll be back after commercials
 
Kwani Iraq baada ya kuangushwa kwa Saddam na watoto wake, nini kilitokea?

Anachofanya kwa makusudi Israel ni kumpa Iran msoto na kifo cha taratibu ambacho kinauma zaidi ili wakija kusalimu amri, mateso aliyopitia yakumbukwe zaidi.
 
Sio Mkuu wa ulinzi ni kama Katibu Mkuu Kiongozi,walikuwa wanamuita Katibu wa baraza la ulinzi.

Pili,Iran wanatakiwa wafanye jambo haiwezekani wanaknewa kirahisi hivi na Israel na proxy wake Marekani.

Kwamba Wameshindwa kumteketeza Kiongozi wao hata mmja? Pili makombora yake ya ballistic mbona hayajaleta madhara makubwa?
 
Kama wanapenda kufa kwanini wanajificha? Unadhani wanauwawa wakiwa sehemu ya wazi?
 
Chanzo: msikitini news.
 
Katika kitu kitawatesa Iran basi ni suala la kujaa Ma agents wa Mossad Kila idara kiasi kwamba asilimia kubwa ya viongozi wao na uwezo wao wa Jeshi uko wazi

View: https://www.instagram.com/p/DVbFhy7EZu8/?igsh=dWdicXpmazV0bG4x
Naamini kosa walilolifanya Iran ni kuwaamini Russia ambao nao wanaongozwa na hao hao Wayahudi.

Mara elfu moja wangeegemea China na N.Korea la sivyo wataangamia sana na huenda Utawala wao ukaanguka.
 
Fake news[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Hata kwa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei mlisema Fake News lakini alipoanza kunuka ikabidi mseme tu japo kwa unyonge!!!

Tunajua hata kwa magaidi hawa wakianza kunuka itabidi mseme tu.** La kuvunda halifichiki** harufu itawaumbua!!!
 
Utawala wao uanguke tu maana hakuna namna nyingine!!
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…