Asante sana MwinjilistJamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.
Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Jahazi linalozama kuokolewa kwake ni mtumbwi kuzamaa.Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.
Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Ilibidi hii itokee ili mabadiliko yaje. Hakuna njia rahisi. Ndio Maana Lissu alijitolea hadi kufa.Walimvyomshikilia Lissu ndio wameharibu zaidi maana hata ambao walikuwa hawaijui no reforms no election sasa hivi wanaijua.
Unajidanganya mwenyeweJamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.
Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Ccm madaraka na pesa zimewapofusha macho Hawaoni kabisaIlibidi hii itokee ili mabadiliko yaje. Hakuna njia rahisi. Ndio Maana Lissu alijitolea hadi kufa.
Yesu Alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba.
Wafilipi 2:8-10
Rais samia ndiyo nani huyo au ndiyo ile.popopo mbili zavuka mto.Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.
Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Sema waislamu uongozi na pesa ni tatizo kwao wanapovipata wanafanya udharimu mkubwa mnoCcm madaraka na pesa zimewapofusha macho Hawaoni kabisa
Mi bado sijaijua nielezee No reform No Election ni niniTena walimvyomshikilia Lissu ndio wameharibu zaidi maana hata ambao walikuwa hawaijui no reforms no election sasa hivi wanaijua.
Chawa wake watakwambia Samia yupo gado na Lissu hachomoki humo ndani.Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.
Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
MnafikiMi bado sijaijua nielezee No reform No Election ni nini
Kwa vichekesho kama hivi fuatilia mada za mla kabeji huyuJamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !