Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

Tena walimvyomshikilia Lissu ndio wameharibu zaidi maana hata ambao walikuwa hawaijui no reforms no election sasa hivi wanaijua.
Kabisa mkuu, tiss, wanauwezo mdogo sana, wanampango wa kumzofisha mama
 
Gentleman,
upotishaji kama huu wa kupeana moyo na matumaini dhidi ya waliopoteza uelekeo, ni miongoni mwa utapeli wa kiwango cha juu sana kwa watu waliokata tamaa ๐Ÿ’
 
Gentleman,
upotishaji kama huu wa kupeana moyo na matumaini dhidi ya waliopoteza uelekeo, ni miongoni mwa utapeli wa kiwango cha juu sana kwa watu waliokata tamaa ๐Ÿ’
Gentleman najua ww unapiga debe I'li upitishwe kwenye ubunge, kwenye kura za maoni, ila ukweli unajua, sema njaaaa, hajakuacha salama unasariti taifa lako.
 
Mpumbavu kweli wewe, sisi wananchi wa kusini (wenye asili orijino kabisa wa ukombozi wa nchi hii) tunasema hao viongozi wapandishwe vyeo kwa kumdhibiti huyo kibaraka.
 
Gentleman najua ww unapiga debe I'li upitishwe kwenye ubunge, kwenye kura za maoni, ila ukweli unajua, sema njaaaa, hajakuacha salama unasariti taifa lako.
Gentleman,
mimi ni automatic candidate wa CCM, sina haja ya debe kwenye kura za maoni,

In fact,
utaratibu wa kura za maoni kwa sasa ni wa kisayansi zaid, huna haja kutangatanga wala kubabaika ๐Ÿ’
 
Tanzania tungekuwa ni moja ya nchi zenye sifa kubwa duniani kama hao maraisi wahalifu waislamu wasinge shika nchi....ni ngumu muislamu kuwa MZALENDO KWA TAIFA
Hatari sana Mungu saidia
 
Swali je unaweza kufa kwa msongo wa mawazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ