Kweli kabisa mkuu watu wameichoka ccm, mabadiliko ni muhimu sanaHii nchi itakuja kujikuta mbeleni imedumbukia kwenye machafuko kwa ajili ya mifumo kulinda watu wachache kwa kivuli cha CCM kama kweli wewe ni mtu wa haki kwa nini hutaki TUME HURU unaficha nini kama tutaendelea kulinda Mafisadi baada ya kulinda nchi tutajikuta pambaya
Hii nchi ni ya wanaccm tu, ukiona picha ya rais imewekwa kwenye bendera ya taifa ujue huyo ndiye mwenye nchi.Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.
Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Huyu jamaa akikukamata aisee damu yako halali yake. Ni mtu hatari sana kwenye nchi hii. Tabia na mienendo yake sio poa kabisaWewe utakuwa sehemu ya machawa hatari kwa nchi
Mtu hahukumowi kwa dini yake Bali kwa matendo yake.hapa kamanda umeenda kombo kabisa maoni yakoTanzania tungekuwa ni moja ya nchi zenye sifa kubwa duniani kama hao maraisi wahalifu waislamu wasinge shika nchi....ni ngumu muislamu kuwa MZALENDO KWA TAIFA
Wamuokoe rais na nini?Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.
Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Experience make perfect....unajua maana yake ...Muslim primitive is useless 😕Mtu hahukumowi kwa dini yake Bali kwa matendo yake.hapa kamanda umeenda kombo kabisa maoni yako
Afukuzwe yeye...Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.
Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kuna nyuzi nyingi sana zinaelezea...tafuta soma..acha uvivu.Mi bado sijaijua nielezee No reform No Election ni nini
Ni yale machawa yenye matumbo makubwa kama jaba.Watu wa rais uwezo mdogo sana wanajua kula tu pesa zake
Hata hivyo mifumo ya ccm ni muhimu sana kuongoza nchi, wenye ccm wanakupangia cha kufanya, wamemwonea sana mama yetu, kila siku wanampa vimemo nn cha kufanyaNi yale machawa yenye matumbo makubwa kama jaba.
Wakilala usiku ni kujamba tuu badala ya kumshauri huyu mwabamke dhaifu.