pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Itatengeneza matatizo mengineHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Acha uongo wewe ,kwani mafao ya hawa wastaafu wakipewa kazi za mkataba wa miaka kumi tu yatalingana na hawa waliokaa miaka 30 ? Na malipo ya kila mwezi yanafutwa mtu analipwa mafao lumpsum baada ya kumaliza hiyo miaka kumi na ni marufuku kuajiriwa tena serikalini , hivi ninyi mliosoma uhasibu na actuarial science kwanini hamshauri hawa wapumbavu wafanye implementation kama hii ili kupunguza makali ya unemployment ?Serikali Haina pesa za kulipa wastaafu.
Fikiria hata Hawa wanao staafu sasa wakiwa na miaka 60,wanalipwa pension baada ya miaka miwili.
Je wakisema walio fikia 45-60 wastaafu wataweza kuwalipa kwa mkupuo?
Pia kustaafu mapema sio suluhisho la ajira.
Marekani ni miaka 70Nchi za wenzetu kustaafu ni kuanzia miaka mingapi? Tuanzie hapi kwanza
Si wengi ,huyo kapata bahati sana.Mwanangu ni Mkurugenzi taasisi fulani analipwa 12 M kwa mwezi.
Sio lazima kulipwa pensheni ,hamna palipoandikwa mstaafu alipwe pensheni ,pensheni ni usenge tu wa serikali ya Tanzania , kuna nchi nyingi tu mstaafu analipwa mafao tu lumpsum au kwa wakit mmoja imetoka hiyo ,hata wafanyakazi wa Private TANZANIA hamna anayelipwa pensheni ,ninyi mafala wa serikalini vichwa maji mna uspecial gani ninyi ,wapuuzi wakubwa ,huduma mbovu ,ufanisi zero vichwa maji ,rushwa na wizi tu ndio mnachojua .Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini
Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
Hivyo viwanda au kilimo unaenda kuvianzisha kwa kutumia makalio yako ? , Hivi unaelewa unachoandika wewe ?Na hapo ndo tatizo lilipo, ni ugonjwa mkubwa ambao umetuathiri sana, kwamba unapozungumzia kazi basi lazima mtu aajiriwe akae kwenye ofisi ya serikali. Ofisi ziko ngapi?! Wasomi mlivyo wengi ivyo mtaenea?! Mkuu maisha yetu ya kila siku duniani kote yanategemea uzalishaji wa viwandani na kilimo. Imarisha viwanda na kilimo, zalisha bidhaa bora utauza duniani kote. Aridhi nzuri na kubwa tu kwa ajili ya kilimo tunayo, maji tunayo...rasilimali viwanda tunazo kila mahala...kwanini hatuwekezi huko ili tutoe ajira kwa wahitimu wetu?! Fungua viwanda vingi, imarisha sekta ya kilimo, tutapunguza hili tatizo badala ya kusubiriana tustaafu ili ofisi wakalie wengine. Mtu anaajiriwa leo ili astaafu atafanya kazi miaka 30+, inamana wewe utamsubiri huyu astaafu ili uchukue nafasi yake so utakua ushazeeka na wewe?! Ukiuelewa huo mstari wangu wa mwisho sidhani kama utatilia tena maanani mambo ya ajira. The government employment circle is very complicated kwa sasa.
sanaKweli ajira imekuwa changamoto kubwa hadi watu wanakuja na mawazo ya ajabu ajabu kama haya
Mfano mimi nina idea muda mrefu ya kuzalisha kemikali ya ethanol Kwa kutumia nafaka ,na hii ethanol ni kemikali yenye matumizi mengi sana haya kwenye viwanda vya pombe nk ,ila mtaji wake si kitoto , halafu mpumbavu anakwambia jiajiri , haya majitu yansongea kirahisi sana ,hebu ingia kwenye mtandao uangalie cost za kuistall mitambo na kujenga processing plant ya kuzalisha ethanol uone ,hata mashine ndogo tu ya kuzalisha ethanol pale Alibaba , hivi mtoto wa masikini kama mimi ninaweza pata pesa kama ile ili kufanikisha hii idea ?Siku zote nawaza sana uwekezaji kwenye viwanda vya kemikali, hii kitu huko ndani inazaa viwanda vingi mno ikiwamo vya dawa na bidhaa nyingine zinatotengenezwa kwa kemikali mbalimbali. Sijawahi kuelewa kwanini hua serikali haiwazi vitu kama hivi. Kuna muda hata hawa wawekezaji tuanze kuwaambia tunataka uwekeze kwenye eneo hili na lile kwa kuangalia mahitaji ya nchi yetu kwa sasa sio tu tunakaribisha wawekezaji ilimradi tu. Waje wawekeze kwenye vitu ambavyo vitasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza tatizo la ajira hasa issue ya viwanda na kilimo
Ni kweli sikupingi juu ya kauli za wazazi "old school" ilikuwa ni kauli ya enzi zao wao. Enzi ambazo kazi ilikuwa inamtafuta msomi. Wazazi wetu wenyewe siku hizi wana ji "prove wrong" 😁Ukisema wanaamini unakosea kwa sababu hata mzazi wako aliwahi kukwambia hii kauli,
"SOMA MWANANGU UFAULU VIZURI, UKIMALIZA SHULE UTAPATA KAZI NZURI NA KUWA NA MAISHA MAZURI"
Hakuna mtoto wa 80's to 90's hakuwahi ambiwa hii kauli na mzazi wake aliyeamini elimu ni ufunguo wa maisha.
Sikiliza wanaoitumbua nchi ni wanasiasa,wateule wa kiserikali na wachaguliwa wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika tuu,vipi kama sheria ingehitaji wahitimu kuanzia ngazi ya diploma kuendelea,hata walarushwa na uongozi mbovu mithili ya yale mambo ya ndioooo bila hata kufahamu nini kinaongelewa kwa manufaa ya nani?Huo ndio umaskini wetu na ndio matatizo ya taifa hili.Labour Market ya Tanzania kila mwaka wahitimu wa vyuo vya juu na vya kati hufika 200,000 men en women serikali imeajiri approximately watu 800,000, waalimu tu ni 40% ya wajiriwa wote, wanao weza kuajiriwa kila mwaka na serikali kwa sekita zote sio zaidi ya 3000, kwa takwimu kama hizo hata watu wakistaafu kwa umri wa miaka 40yrs bado tatizo liko pale pale, tena kumbuka kuna wanao tafuta ajiri tayari wako 40yrs kwahiyo hao wafanye je? Kwahiyo wamestaafu kabla ya kuajiriwa.
Unaongea vitu ambavyo watu hawapendi kusikia.Unadhani kupunguza umri wa kustaafu ndio kutatatua tatizo la ajira?
Emb think again kaka, bado sana.
Hata serikal iseme ni mwaka mmoja, hakutokuwa na nafuu namna yoyote ile
Like seriously? Mkuu ushapitia Hali ya kutobahatika kupata ajira na biashara kufa?Umaskini mbaya sana!! Hapo siki imekujaa kifuani ukiona mtu anaamka kwenda kazini!! Jiajiri wewe achana na Masasi ya kichawi!
ExactlyKabla ya kufika huko kote serikali ianze kuzuia wastaafu wasipewe mikataba baada ya kustaafu. Haina maana mtu anastaafu halfu unaaanza tena kumpa mkataba wakati mwingine mpaka miaka miwili wakati mtaani la vijana wasio na ajira.