Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Sihukumu but viongozi wengi pepo yao ni hapa duniani ni ngumu sana kwenda mbinguni kupumzika....kwahiyo wacha wale wamalize kama inawezekana....wanayoyafanya ni magumu mno kutamkika....!
Hiyo pepo wewe ulishawahi kuiona

Ndo yale yale ya pastor tony, huamin gesi kujaa kwa kupulizwa ila unaamin bikra maria alizaa bila kuingiliwaa
 
Poa
 

Naomba nikueleweshe ndugu mtu akifa mali zake zinafuata muongozo wa kisheria kuna sheria inaitwa The Probate and Adminstration of Estate Act .
Kwa mujibu wa sheria hiyo kama marehemu hajaacha wosia kuna taratibu za kimahakama zinatakiwa kufuatwa halafu mahakama ikirizika na taratibu hizo inatoa hati ya usimamizi wa mirathi.
Sasa mtu akishateuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na kuwa na hati hiyo ya usimamizi wa Marathi ndio sasa anaweza kwenda sehemu yeyote ambapo anafahamu marehemu alikuwa na mali akazidai na ndipo anapewa.
Kwa hiyo hilo ulilosema kwa watumishi wa serikali kwamba wanaangalia confidential File la marehemu ndio wanamchagua sijui mke halali sijui nini hakuna kitu kama hicho .
Sasa nakutaarifu nikiwa mzoefu wa kazi hiyo kama head of hr and administration dept.
Mtumishi alifariki Ofisi ikishagharamia mazishi na kutoa rambirambi familia itaambiwa kwamba marehemu alikuwa na stahiki zake nyingine kadhaa na hili kupata haki hizo inabidi wanaandugu wakae vikao wateue msimamizi wa mirathi ambaye itabidi athibitishwe na mahakama zen mtu huyo atafuatilia haki za marehemu.
Kwa marehemu ndugai yeye sidhani kama ana madai yeyote serikalini, kama mafao ya uspika na ubunge alishalipwa na pension ya uspika mstaafu inakoma pale tu spika mstaafu anapofariki hairithiwi.
Mirathi ya ndugai itahusiana na mali zake, na fedha zilizopo benk au hisa alizokuwa anamiliki
 
Unaposema "Most of them wametoka poor families" ina maana wewe umetoka rich family? Wewe ninayekujua au mwingine?
 
Ujinga utatawala hivi kuna mwanaume amekamilika mbele ya wanawake, mi ninao watatu nikifa naamini watafika sita shida nn mzee naona alijiandaa ndo maana ghorofa pale ndani ziko mbili ni ujinga piga makelele.

Wake zake waamue ama ishi geti moja ama wapakate viwanja viwili hayo mengine kelele zisizo maana
 
None kati ya hao
Duh ,kazi itakuwepo kwenye mgawanyo wa mali.Hivyo kuna watoto wengi wa mama mbalimbali.Ndo maana imetajwa tu kaacha watoto na idadi haikutajwa.Ikasemwa pia kaacha mke .Hawajasema hata historia ya ndoa n.k.
 
Hilo unajua wewe

Kinachoangaliwa yeye alijaza nini
Ndugu unatakiwa ujue kwamba sheria ya usimamizi wa mirathi ina taratibu zake mahakama inapokuwa kwenye mchakato wa kuteua msimamizi wa mirathi ya marehemu haiulizi serikalini marehemu alipokuwa anafanya kazi eti kujua kwenye faili lake alijazaje.
Kama kukitokea utata wa wake au mke inaangaliwa sheria ya ndoa inasemaje .
Sana sana mahakama itataka cheti cha ndoa na kuangalia sheria inasemaje .
 

Wewe ndio utakuwa mjinga ambaye hufahamu kwamba masuala ya ndoa na masuala ya mirathi yapo kisheria kabisa.
Unaweza kuacha maghorofa hata Mia na wake zaidi ya kumi lakini yote hayo ukifa atamilikishwa kisheria mke 1 tu ambaye Mahakama itamtambua kama mke halali hao wanawake zako wengine wasiambulie kitu.
 
Thank you Senior , well put

Sasa hapo kwenye pension, ikiwa mtumish amefariki kabla ya kustaafu lets say in his 40s na sheriq zenu za watu kufîka 55 ndio apewe 30% ……ndugu watakaofuatilia watalipwa vipi hiyo pension …….hii imekaaje Head of Dept ? Tupe uzoefu

Hoja pia ilikuwa ni mke gani wa Job anaejulikana Rasmi
 
Thank U ,Head of Dept.
 

Ukishafunga ndoa ya kikristo hilo halitawezekana Sheria imekataza hayo yanawezekana kwa wale ambao hawajafunga ndoa ya kikristu

 
1. Kwenye suala hili zipo Sheria Kuu mbili zinahusika:-
(I) Sheria ya Ndoa.
(ii) Sheria ya Usimamizi wa Mirathi.

2. Aidha, Kwenye suala hili, hao Wanawake wote wawili wanayo Haki ya kuweza kupata Mgawo wa mirathi.
Kumbuka kuzingatia tafsiri za kisheria kwa Sheria za Tz kuhusu masuala haya :-
(I) Ndoa.
(ii) Dhana ya Ndoa
(iii) Chumo la Ndoa
(iv) Mirathi.

NB: Muunganiko wa Ndoa siyo Ubia wa Kibiashara, hivyo Basi, Chumo la Ndoa ni LAZIMA litokane na michango ya pamoja ya wanandoa wote wawili katika upatikanaji wa Mali husika.

Marehemu anazo Mali alizoziacha ambazo amechuma pamoja na Mke wa Kwanza na pia zipo Mali zingine ambazo amechuma na mke wa pili.

Hivyo Basi, Mahakama itaweza kuzingatia Mambo yote haya mawili wakati wa mchakato wa mgawanyo wa mirathi ya marehemu
 
Huna lolote porojo tu
 

Mke wa marehemu anatambulika kupitia cheti cha ndoa kama mtu akifariki kama hakuna cheti cha ndoa ishu inakuwa very complicated sana
Kwa kesi ya marehemu ndugai mke wake halali ni yule aliyefungana ndoa kanisani anaitwa Stella.
Yule mama akikomaa anakomba mali nyingi za ndugai yule dr fatma wanaoweza kuambulia mali ni watoto wake aliozaa na ndugai
Mtumishi wa umma akifariki mafao yake yapo kwa utaratibu huo hapo nimekuwekea link

 

Hakuna kitu kama hicho ukishafunga ndoa ya kikristo sheria haitambui ndoa nyingine yeyote hapo labda ubadili dini ndipo uone kwa dini nyingine tena hapo mke wa kwanza akikubali akikataa ni kwamba itabidi itoke talaka ndio ukaoe kwa dini tofauti na ukristo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…