Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

 
Kwenye mkataba hapo sijaongelea mzee nadhani watalifanyia kazi maana kweli madhaifu yapo ila swala la kuweka wawekezaji kwenye hii miradi ya umma naunga mkono 100% maana wabongo wizi umezidi nanhaupungui
Tukiwa na uwajibikaji kwa wananchi(Katiba Mpya) wizi utapungua, maana watu wataogopa sheria. Sasa unapiga na kesho unapewa nafasi.

Kazi zingine ziwe zinapigiwa kura(wakuu wa mikoa,wilaya) wakikosea wanafukuzwa.
Wakuu wa mashirika wasiteuliwe, waombe kazi kwa sifa.

Tutapunguza mengi.
KATIBA.
 
Mzee sijaongelea mmiliki wa scanner. Mimeongelea magendo na wizi na ukwepaji kodi bandarini
 
Mnauza nchi kwa tamaa ya kutajirisha familia zenu tu na wala siyo Watanzania.
Anaye tajilisha familia ni huu mfumo wa sasa bandari ambao karibu 35% ya mapato ya bandari yanaishia kwenye mifuko ya wanao kwepa kodi na udanganyifu sasa lunakuja rungu la technology mnaona mirija inaziba. Hilo la ubovu au uzuri wa mkataba nawaachia wanasheria mimi najikita kwenye umuhimu wa kuondoa usimamiz wa bandari kwenye mikono ya hawa washenzi wanao jinufaisha wenyewe kupotia bandari
 
Mzee sijaongelea mmiliki wa scanner. Mimeongelea magendo na wizi na ukwepaji kodi bandarini
Mchakato ukusanyaji kodi unafanyika nje ya bandari sio ndani ya bandari umeandikia uschokijua badari inachaji pesa kidogo sana ambazo hata nfanya biashara ndogo machinga anaweza kulipa

Aliyekupa majuku makubwa ya kutetea uzwaji wa bandari alitakiwa akuelimishe kwanza ujue majukumu ya bandari
 
Mchakato ukusanyaji kodi unafanyika nje ya bandari sio ndani ya bandari umeandikia uschokijua badari inachaji pesa kidogo sana ambazo hata nfanya biashara ndogo machinga anaweza kulipa
We unae jua andika yako unayo yajua mie naandika haya ya wizi na uhujumu wa bandarini tugawane hivyo.
 
Unaisifia sana hiyo Kampuni ya Dubai na haijawahi fanya kazi yoyote Tanzania ukaona matunda yake kumbuka,"Mdharau mwiba mguu huota tende."
 
Kwa ni usiseme serikali imeshindwa! Simple as that.
Serikali inayolea wezi, inashindwaje kuingia mkataba wa kifisadi?!


Hoja yako dhaifu.
Ni kweli kabisa tumeshindwakwa 100% na kwanini tumeshindwa ni kutokana na serikali kuendelea kulea wezi na mafisadi kwa sababu kwanza ni ma kada wa chama tawala wenye VVIP card na niwafadhili wakubwa wa chama na serikali.
 
Nenda shule kajifunze majukumu ya TPA na TRA kabla ya kuandika ugoro mnatia aibu mnaangaika na mamba msioyajua nyie
Mzeee mbona huelewi kiswahili ? Wewe unanisakama mimi kwani mimi DPWORLD au mimi ni TPA? Hebu jifunzeni kujadili mada na sio kumjadili mtu,

nimekupa uhuru hapo wewe andika yakwako unayo jua na mimi niandike ya kwangu lakini naona bado huelewi,

wewe andika hayo ya majukumu ya TPA na TRA kwa sababu unayajua vyema mimi nitaandika umuhimu wa kuachana na watanzania kwenye kusimamia miradi ya umma kwa sababu ya wizi na uhujumu ni hivyo tu mbona nimekuruhusu kuyaandika uanayo yajua sasa kashfa na manenobya kike ya nini hapa mzee , we tumia uhuru na ujuzi wako tueleze majukumubta TOA na TRA sisi ambao hatujui si ni hivyo tuu!
 
Unaachanaje na Watanzania kusimamia miradi?!

Sasa kwa nini tusikodishe serikali kuendesha nchi!

Huwezi kusema watanzania ni wezi, unakataa kwamba mkataba walioingia hao wezi sio wa kifisadi .

Mwizi anawezaje kukuletea jambo jema?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…