Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

Kuendelea kuwaamini TPA bado ni sawa na kuendelea kuwaamini ATC au TRC walisha shindwa na vifaa wanavyo , kwa vifaa hivyo hivyo walivyo navyo walikuwa waki process mizigo haraka sanabwakatibwa mzee magufuli leo imekuwaje ?

Kushindwa kwa serikali kusimamia na kuwajibisha watu iliyo wwapa majukumu ndio kumetufikisha hapa.

nikuhakikishie ni kazi ngumu sana tena sana kupambana na kundi linalo pambana kuongeza skills za wizi kuliko kuongeza skills za kuongeza uwajibikaji
 
 

Attachments

  • IMG_0752.MP4
    3.8 MB
  • IMG_0756.MP4
    3.5 MB
Wengi wanaounga mkono swala la bandari ni yale mafisafi yaliyohongwa na mwarabu muuza watumwa weusi ili yamtetee kupora bandari yetu.
 
Kabisa !
 
Wengi wanaounga mkono swala la bandari ni yale mafisafi yaliyohongwa na mwarabu muuza watumwa weusi ili yamtetee kupora bandari yetu.
Hilo la kuuza bandari umelitoa wapi? Na imeuzwa Tsh ngapi? Hebu tusaidie hapo kwanza
 
Mbuga za wanyamaaa nazoo hatuwezi kuziendesha kabisaaa jamani apewe Muarabuuu
Eee apewe tuu muarabu angalau serikali inaweza kupata kodi kuliko sasahivi tunaambiwa taasisi zinajiendesha kwa hasara kumbe watu wawili watatu wanapiga tu pesa
 
Kwa hiyo maana yake CHADEMA ni maadui wa Taifa? Wanatumiwa na mabeberu kupitia Kenya kutuhujumu, tangu enzi za Loliondo? Na vita ya makanikia? Wanatumia lugha ya kibaguzi kwani Waarabu siyo watu? Si wanaomaliza mkataba ni TICS ni Wachina, mbona hawakulisema 31 years?
 
Inawezekana pia hata CHADEMA wakawa wanatumiwa kurubuni watu na ndio maana kama unakumbuka Halima mdee alibanwa mbavu pale bunheni na spika baadabya kuanza kutumia hisia kwenye mjadala badala ya vifungu vilivyopo akaanz oooh!mie naona mbali si jui wapi,
 
Acha porojo. Huo mkataba wa kibwege hatuutaki
 
Acha porojo. Huo mkataba wa kibwege hatuutaki
Sasa huutaki wewe upo huko kitumbini huko huutaki kivipi bwashee! Wakati wabunge wako ulio waamini ukawachagua wakuwakilishe na ni watunga sheria wako wameupitisha kwa kishindoo kabisa
 
Kwahyo kuthibi hilo ni kubinafshwa
 
Kwahiyo nchi nzima tunapitisha makontena pale bandarini??

Huo mkataba ni mbovu inahitaji kujitoa ufahamu kuutetea.

Yaani uwe zezeta ndio utaona hauna tatizo lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…