passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Hapana sehemu amesema hivyo.Nadhani anamaanisha kazi za kuajiriwa, maaba kazi za ndani tu pekeyake zinatosha na ndio maana watu wanaajiri madada wakazi na wanawakipa kwakua kazi za ndani pekeyake na nyingi. Kibwa hapa wale wanaokataa wake zao wasiajiriww basi wawe wanawakipa kulingana na vipato vyao.
Safi sana.Kazi yake kubwa nimesema itakuwa ni kula, kulala na kufanya mazoezi ya viungo
Kumbe wewe mke wako unaenda naye kwenye biashara zakoHapana sehemu amesema hivyo.
Kasema Mke wake hatafanya kazi.
Labda wewe unisaidie kuna Mke wa tajiri ambaye hafanyi kazi ulishamuona?
Na pesa ya mwanamke ni ya mwanamke, mwanaume unaanzaje kuipigia hesabu?Usiwalaumu Mkuu,tatizo ni matokeo mabaya yanayokuja baada ya mwanamke kufanya kazi......wengi huanza kutokusikiliza mume,kiburi,kujilinganisha,kumshusha thamani mume na kurudi home muda atakao
Wanawatesa tu wanawake kufanya majukumu yasiyo yao.Kumbe wewe mke wako unaenda naye kwenye biashara zako
Mimi mke wangu ni pambo la nyumba, anatakiwa kula, kulala na kufanya mazoezi ya viungo tu siyo kuhangaika na mafoleni huko barabarani
Hapana hii siungi mkono, nnachokataa mimi mke kuacha kabisa kushughulika na watoto na kutunza nyumba kwa kisingizio cha ugumu wa maisha eti nayeye atoke akatafute nnacho amini mimi kama mke umemruhusu akifanye kazi hicho kipato ni chake, maswala ya huduma za nyumbani bado yanabaki kwako mume.Hapana sehemu amesema hivyo.
Kasema Mke wake hatafanya kazi.
Labda wewe unisaidie kuna Mke wa tajiri ambaye hafanyi kazi ulishamuona?
Si βkusaidiwaβ ili yeye na Mke βwatimizeβ majukumu maana ukisema unasaidiwa ni kama mmoja anafanya kwa HisaniNa pesa ya mwanamke ni ya mwanamke, mwanaume unaanzaje kuipigia hesabu?
Huyu jamaa siku hizi kidem chake kinamuendesha sana aisee.
Yaani unaoa ili usaidiwe majukumu!!
Kipato chako wewe, nichafamilia nzima akiwemo mkeo na watoto wenu.Kipato chenu? Wewe na yeye au wewe?
Hiyo ni imani yako.Hapana hii siungi mkono, nnachokataa mimi mke kuacha kabisa kushughulika na watoto na kutunza nyumba kwa kisingizio cha ugumu wa maisha eti nayeye atoke akatafute nnacho amini mimi kama mke umemruhusu akifanye kazi hicho kipato ni chake, maswala ya huduma za nyumbani bado yanabaki kwako mume.
Sasa wewe fata usasa, uache kufata asili. Mpe mkeo 50/50 kama wanavyohitaji wanawake wote, jiulize sana huko walipoanza kustarabika kwa nini ndoa hazidumu?. Kulinganisha na jamii nyingine hasa za sisi weusi.Hizo ni blue print za mifumo dume ambazo umeaminishwa hivyo.
mtoto wakike alikuwa apelekwi shule sababu yeye alikuwa kama mtumwa tu itafika umri atachukuliwa na mwanaume kwenda kumtumikia.
Hii ni karne ya ngapi? Unataka dunia iendelee kuwa vile vile miaka 1000 nyuma?
Mkuu Rustem,Kipato chako wewe, nichafamilia nzima akiwemo mkeo na watoto wenu.
Upo na takwimu?Sasa wewe fata usasa, uache kufata asili. Mpe mkeo 50/50 kama wanavyohitaji wanawake wote, jiulize sana huko walipoanza kustarabika kwa nini ndoa hazidumu?. Kulinganisha na jamii nyingine hasa za sisi weusi.
Duh! Acha mawazo haya mkuu! mawazo huumba, majanga yakitokea tutajua njia ya kuyatatua lakini tusitandikie godoro matatizo, Ishi leo yako achana na kesho.siku nitakapopata ugonjwa wakuniweka kitandani
Ni mawazo yako,na yanaweza kua ni ya kipuuzi kwa wengine,kama wewe una ndugu au rafiki amekwama kwakua anawajibika peke yake,nenda kaseme nae huyo,usiwasemee watu,wako wanaoweza kuja hapa na wakakupa masaibu ya unacho jitetea nacho
Hawa vijana walamba lips wa kipindi hiki hawatakuelewa sababu wanataka majukumu yao yabebwe na wake zao.
Mwanamke ni pambo la nyumba ikiwa na maana yeye mwenyewe apendeze, awaweke watoto wakiwa safi, mume wake aende kazini akiwa msafi wa mwili na akili pamoja na usafi wa ndani.
Mwanamke huyu akienda kazini nani atafanya hayo?
Kama ni hivyo si angebaki kwa wazazi wake afanye kazi ili asomeshe wadogo zake π€
That's another issueYeyote anayebisha muulize hatamani binti yake aje kuwa Rais, spika, waziri, mkurugenzi kama wanawake walivyoshika hatamu kwenye hii awamu? Anataka binti yake awe goli kipa tu that's it? They must be dumber than bricks π§±
Dhana ya 50/50 wapewe furusa sawa, baada yakupewa furusa hizo Kwa upendeleo hao wanawake angalia impact yake ni nini katika msingi wafamilia ya baba, mama na watoto.Upo na takwimu?
Kama unazo weka tusome.
50/50 si mwanamke kujilinganisha na mwanaume.
Unaelewa dhana nzima ya 50/50?