Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Makonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.

Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?

Viva ngoshas.

Narudi usafani
 
😍
 
We Ni mataQo, we upewe Ushaidi we Kama Nani binti?????
We mwanzo simlikuwa mnasema hakuna Ushaidi wakumfunga Sabaya?! Kwa taarifa yako Jamuhuri Ina Ushaidi wote wa jinai za makonda, Hadi Ushaidi wa wewe bottom wake
Wewe mwenyewe tutaweka ushahidi humu namna mama yako akipigwa miti. Clip tunayo. Maana hili ni jukwaa huru.
 
Asante Sana kwa hoja hii, mwenye ushahidi usiotia shaka ajitokeze not necessarily aulete humu, aupeleke kunako husika.

Mimi niliwahi kufanya kautafiti kadogo kumhusu huyu jamaa, nikabaini
P


P
 
Hizo ndio siasa za Bongo..
 
We hizi habari umezitoa wapi?
 
Ubalozi wa US wanao ushahidi.
 
Wewe mwenyewe tutaweka ushahidi humu namna mama yako akipigwa miti. Clip tunayo. Maana hili ni jukwaa huru.
Ok,mi ninayo ya wako wewe akiliwa Tigo kwa mtungo!

we ni bottom wa makonda, ni vile sheria za humu haziruhusu kumuanika member jina lake halisi
 
To cut the matter short,chukua ushahidi wa kuvamia Clouds TV only, na uisaidie jamii huyu Bwana afikishwe mahakamani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
jamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
Atakuwa mwehu huyo! Hawa watu wanataka kumtetea Bashite wanatukumbusha jinsi Sabaya alivyo Dhani kupiga propaganda kunasaidia kumbe ndio chanzo cha vyombo husika kulianzisha
 
Sikujua kama JF kuna vilaza ambao hawajui sheria walau kidogo. Mnaambiwa mtoe ushahidi dhidi ya tuhuma zake za kumshambulia Tundu Lissu ila mnasema anamiliki magari kuliko mshahara...
Sasa Ushaidi ukishahanikwa humu, lengo na Nia yenu muharibu Ushaidi wa huyo bwana wenu?! Ushaidi unatolewa Court, hata Ushaidi wa Sabaya asilimia kubwa ulitolewa court sio Jf, haukutolewa kabla humu JF Ushaidi wa Sabaya akionekana kwenye CCTV akikwapua maburungutu ,lakini mahakama tuliona Ushaidi wa kila namna,Tena mwingine hatukutegemea kabisa, na kwa makonda ndio hivyohivyo itakavyokuwa.
 
Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Naomba uhoji kwanza waliotoa cctv camera kwenye makazi ya Lissu siku moja baada ya kupigwa risasi. Ndipo nijue ww unadhamira nzuri ya hichounachomtetea makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…