Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Wewe mwenyewe tutaweka ushahidi humu namna mama yako akipigwa miti. Clip tunayo. Maana hili ni jukwaa huru.We Ni mataQo, we upewe Ushaidi we Kama Nani binti?????
We mwanzo simlikuwa mnasema hakuna Ushaidi wakumfunga Sabaya?! Kwa taarifa yako Jamuhuri Ina Ushaidi wote wa jinai za makonda, Hadi Ushaidi wa wewe bottom wake
Asante Sana kwa hoja hii, mwenye ushahidi usiotia shaka ajitokeze not necessarily aulete humu, aupeleke kunako husika.Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Aliyeamini Dunia iko chini ya miguu yake ameshitukia iko kichwani.Kama raia wa Tz nahitaji kupata ukweli. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba JMT.
Hizo ndio siasa za Bongo..Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa marekani ushahidi wa wapi makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?
Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?
Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.
Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.
Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.
naunga mkono hoja.Nashukuru mkuu P. Lakini sababu wanamchafua kupitia social media ni vyema wakatuwekea humu.
We hizi habari umezitoa wapi?Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Ubalozi wa US wanao ushahidi.Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Ok,mi ninayo ya wako wewe akiliwa Tigo kwa mtungo!Wewe mwenyewe tutaweka ushahidi humu namna mama yako akipigwa miti. Clip tunayo. Maana hili ni jukwaa huru.
Bashite angerudi tu na ile id yake ya Simiyu Yetu sio kuanzisha id mpya kila sikujamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
To cut the matter short,chukua ushahidi wa kuvamia Clouds TV only, na uisaidie jamii huyu Bwana afikishwe mahakamani.Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa marekani ushahidi wa wapi makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?
Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?
Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.
Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.
Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.
Umeishi kwa upanda utakufa kwa upangaHuu ndo ushahidi.?
Tunataka anyongwe ila si kwa maneno tuu ambayo pengine si ya kweli jomba!!
Vifurushi vina gharama,mambo mengine yaachwe piaAcha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
Atakuwa mwehu huyo! Hawa watu wanataka kumtetea Bashite wanatukumbusha jinsi Sabaya alivyo Dhani kupiga propaganda kunasaidia kumbe ndio chanzo cha vyombo husika kulianzishajamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
Sasa Ushaidi ukishahanikwa humu, lengo na Nia yenu muharibu Ushaidi wa huyo bwana wenu?! Ushaidi unatolewa Court, hata Ushaidi wa Sabaya asilimia kubwa ulitolewa court sio Jf, haukutolewa kabla humu JF Ushaidi wa Sabaya akionekana kwenye CCTV akikwapua maburungutu ,lakini mahakama tuliona Ushaidi wa kila namna,Tena mwingine hatukutegemea kabisa, na kwa makonda ndio hivyohivyo itakavyokuwa.Sikujua kama JF kuna vilaza ambao hawajui sheria walau kidogo. Mnaambiwa mtoe ushahidi dhidi ya tuhuma zake za kumshambulia Tundu Lissu ila mnasema anamiliki magari kuliko mshahara...
Ibara ya 18.Kama raia wa Tz nahitaji kupata ukweli. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba JMT.
Naomba uhoji kwanza waliotoa cctv camera kwenye makazi ya Lissu siku moja baada ya kupigwa risasi. Ndipo nijue ww unadhamira nzuri ya hichounachomtetea makondaAnza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...