Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Kwani ushoga ni sifa nzuri kwako siyo?

Maana wamarekani walimzuia kwa sababu aliupiga vita ushoga.

Ila Lissu walimkubalia sababu aliukubali Ushoga!

Wekeni ushahidi acheni Majungu.....
Makonda atapingaje ushoga wakati yeye mwenyewe anapakuliwa mavi? Kama hamujui tuulizeni tuwawekee hapa ni lini alianza kupakuliwa na nani kampakua!!
 
Wakati JPM alipokuwa anaumwa kuna mkubwa moja alisema Rais yupo vzri na a achana kazi mwishowasiku tukasikia RIP . JE? tukiomba ushahidi wa aliyo yasema atatupatia?
 
Wewe ni nani yake
 
Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.

Post nyingi sana unawatetea. Makonda hawezi kukwepa mkono wa sheria labda afe mapema kama Magufuli
 
Naona hiki kinachotokea kwa makonda ni kichekesho kama mwendesha mashitaka anapinga maombi ya kubenea kuruhusiwa kumshitaki makonda sioni haja ya kumtuhumu makonda mitandaoni wakati ushahidi usio na mashaka haupo,tutajadili sana bila maana mpaka mwendesha mashitaka akiona kuna haja ya kumfungulia kesi makonda tukutane kujadili ,kilichobaki hapa ni "nimesikia alifanya hivi"na wivu tu wa kishamba
 
Upewe ushahidi wewe ni mahakama?
Ukishapewa utaufanyia nini au kwa faida ya nani. Endelea kuimba mapambio hapo kusifia wauwaji
 
Kiongozi mimi ni mjinga naomba unitoe ujinga,
Deep state inaundwa na watu wa gapi?
Watu hao ni akina nani?
Vipi Jk yumo au?
 
Kuna wapumbavu wanauliza maswali ya kipumbavu na kutoa maoni ya kimavi! Hivi ni nani anazuia huyu muuaji asishtakiwe ili watu wapeleke maushahidi? Serikali ime msingle out Sabaya na kumuacha huyu. Kubenea amejaribu kumshitaki lakini kuna visiki kibao!
 
Acha upumbavu na ushabiki mandazi unamtetea mahalifu laana yake itakukumba shauri yako !!!
 
Cc Idugunde Crimea comte YEHODAYA Countrywide
 
Cc
Idugunde Crimea comte YEHODAYA Countrywide
 
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT ipo wazi kutoa maoni ni pamoja na kupata taarifa. Kuweka hapa jamvini ushahidi ni ishara tosha kuwa hata mahakamani maana hii ni dunia ya kidijitari.

Sabaya sio gaidi. Kumbuka pia sio wote wanaokuwa gerezani ni magaidi.

..mbona Lissu ametoa ushuhidi kwamba WALINZI wa area D waliondolewa siku aliyoshambuliwa lakini hakuna hatua zilizochukuliwa?

Cc Erythrocyte
 
JPM ana umuhimu wa kufufuka kuliko kiumbe chochote nchini, uenda akapata nafasi ya kutubu tu! Na ajionee mawaziri aliowatema wanavyochapa kazi kwa kujiamini bila hofu chini ya mama!
 
NSA hunasa mawasiliano ya simu, email, fax, msg, etc duniani kote, , , yaani kuna server za ukubwa wa mahekali kwenye makao makuu ya NSA, ,
Lakini hawawezi kutoa intelligence kizembe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…