Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tumechoka na haya maisha magumu aseeKwa kweli Tanzania inahitaji Traole wake, huo ni ukweli usiopingika. Huenda yupo tu huko kwa wajeda, anaangalia tu kinachoendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumechoka na haya maisha magumu aseeKwa kweli Tanzania inahitaji Traole wake, huo ni ukweli usiopingika. Huenda yupo tu huko kwa wajeda, anaangalia tu kinachoendelea
Ccm lazima iondoke kwanza ili nchi ianze upya.Lakini pia ili tutoke hapo kwenye mkwamo lazima tuondokane na tabia yakutegemea mtu mmoja kama mwamuzi wa kila kitu.Wenzetu walishaondoka uko wako kwenye kujenga mifumo thabiti inayojisimamia ndo maana wanaendelea ila sisi bado tunawaza mtu mmoja sahihi ambaye ata ukimpata anaweza kufa au kubadilika muda wowote.
Nimeipenda hoja yako. Lakini hoja nzuri haihitaji kuwa ndefu hata fupi inatosha. Tatizo ulilolitaja litapungua kwa kiasi kikubwa sana kama tutamuondoa Mungu wa Ikulu anayeishi kwenye Ikulu ya nchi yetu kwa Katiba Mpya na kwa sanduku la kura. Hakuna njia ya mkato.Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya serikali za mitaa na serikali kuu, mashirika ya umma nk, ni wizi, wizi, wizi tu!
Watu siku hizi hawana uoga tena. Kwa wale waliompenda Magufuli na ambao hawakumpenda, wote lazima tukiri kwamba katika uongozi wake watu waliogopa kufanya wizi kama huu unaofanyika sasa.
Sasa tujiulize, kwa nini watu hawana uoga tena wa kufanya ufisadi na wizi hadi kufikia kiwango hiki?
Bila aibu wala upendeleo, twapaswa kukiri kwamba kuongezeka sana kwa wizi na ufisadi chini ya Raisi Samia kunachangiwa na watu kuona kwamba (perception) kuanzia ofisi ya Raisi mwenyewe, mawaziri nk, kumekuwa na viongozi na hata mawaziri wapigaji wengi tu. Kama hatutaoneana aibu, basi lazima tuseme uongozi wa Raisi Samia ndio tatizo na ndio unafanya watumishi wa serikali, mashirika na hata vyombo vya usalama kuwa na udiriki wa kuiba kwa kiwango hiki, jambo ambalo tunakiri wasingethubutu kufanya wakati wa Magufuli.
Wengi wetu tunaona kwamba Raisi Samia mwenyewe alihalalisha wizi wa fedha za serikali pale alipotoa kauli kwamba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, kauli ambayo japo anajua imeleta utata, hajawahi kuirekebisha. Raisi Samia anapaswa aelewe kichocheo kikubwa cha wizi uliopo ni perception kwamba kama Raisi amekuwa akitoa fursa nyingi za kutajirisha ndugu zake wa karibu na mbali (nepotism), na sasa hata mawaziri wake na watu wengine kwenye mashirika na serikali kuu na za mitaa wanaona ni halai kujitajirisha kwa kuiba fedha za serikali. Hivi inafikia wakati wowote Raisi Samia anajiuliza utajiri wa kasi wa mtoto wake Abdul unavyotazamwa na Watanzania, kuanzia mawaziri hadi watu wa serikali za mitaa na kwingineko, na unakuwa na athari gani kwa uaminifu wa viongozi na watu walio na fursa za kuiba fedha za serikali? Kwa nini watu wawe waaminifu wakiwa na perception kwamba hata Ofisi ya Raisi nchini haya mambo yanafanyika?
Watanzania wote wamesikia juu ya yale Makonda aliyofunua kule Arusha, na Watanzania wote wanatambua aliyofunua Makonda ni tone dogo sana katika bahari ya wizi wa fedha za serikali unaofanyika nchini kwa sasa. Leo mpeleke Makonda Morogoro, Mbeya, Iringa, Tanga nk, atakutana na yale yale anayoibua Arusha - wizi, wizi, wizi!
Sasa ni wakati wa kikiri kwamba tatizo la wizi nchini ni tatizo linalotokana na udhaifuu wa Ofisi ya Raisi katika kusimamia nidhamu ya fedha na uongozi nchini, na imefikia mahali hakuna mtu anaemuogopa Raisi Samia katika kufanya ufisadi na kuiba. Jambo mojawapo la kisaikolojia, ni kwamba inawezekana watu hawana uoga na kuiba chini ya uongozi wa Raisi Samia kwa sababu hawamwogopi raisi mwanamke, au labda wameona hana ukali au weupe wa kukemea wizi wa fedha za serikali, au kwa sababu tu ya perception kwamba hata Ofisi ya Raisi kuna hizi tabia za kujinufaisha kibinafsi na fedha za serikali.
Sasa je, suluhisho ni nini? Je, suluhisho liko ndani ya CCM au labda chama cha upinzani kuiondoa CCM madarakani?
Ukiniuliza maoni yangu binafsi, nitakuambia sioni ndani ya CCM kiongozi ambae anaweza kuwa mbadala wa Raisi Samia na kuweza kurudisha nidhamu ya fedha za serikali. Niambie, nani? Wale wote wanaotamani kushika nafasi ya uraisi, wote ukiwaangalia unaona kabisa huyu hawezi, na wala yule hawezi. Sioni mtu ndani ya CCM mwenye uwezo wa kurekebisha hali tuliyofikia Tanzania. Nani, Mpango? Makamba? Mwigulu? Majaliwa? Biteko? Jafo? Bashungwa? Hakuna hata mmoja, wote wameshaambukizwa kirusi cha kutoweza na kuweka maslahi ya chama na ukada mbele ya maslahi ya Tanzania.
Basi je, suluhisho liko nje ya CCM kwenye vyama vya upinzani? Tundu Lissu? Zitto Kabwe nk? Inawezekana, lakini ni jambo ambalo haliwezekani kusema Lissu au Ziito kwa mfano, wachukue nafasi ya Uraisi na nchi iwe chini ya uongozi wa vyama vyao. Hilo halitatupeleka popote.
Maoni yangu ni kwamba imefikia wakati tufikirie kuuna serikali ya mseto ambayo itajumuisha vyama vyote vya upinzani, ili tujipange upya. CCM peke yake, au Chadema peke yake, au ACT wazalendo peke yake, hawezi kututoa hapa tulipo. Lazima tutafute namna ya uwajibikaji wa serikali kwa kuwa na serikali ya mseto ambayo hivi vyama vya siasa nchini vitalazimika kufanya kazi pamoja kwa maslahi ya Tanzania, hapo tunaweza kufanikiwa.
Mpango anawezaTumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya serikali za mitaa na serikali kuu, mashirika ya umma nk, ni wizi, wizi, wizi tu!

Katiba mpya peke yake haiwezi kuwa suluhisho la matatizo kama wizi, inahitaji mtu alieye serious, ambae anaweza kukemea wizi kwa sababu yeye pia haibiNimeipenda hoja yako. Lakini hoja nzuri haihitaji kuwa ndefu hata fupi inatosha. Tatizo ulilolitaja litapungua kwa kiasi kikubwa sana kama tutamuondoa Mungu wa Ikulu anayeishi kwenye Ikulu ya nchi yetu kwa Katiba Mpya na kwa sanduku la kura. Hakuna njia ya mkato.
Aaah, yule bwana asiejua kukemea mtu ataweza kweli?Mpango anaweza
Na huyo mtu SERIOUS akifa itakuwaje? Tunahitaji Katiba Mpya itakayohakikisha kuna taasisi imara na zisizoyumbishwa na mtu yeyote. Taasisi zinakufa? Taasisi imara zitakuwa tayari kumchukulia hatua bila kumuonea mtu yeyote hata Rais wa nchi pindi atakapobainika kuvunja sheria za nchi na Katiba ya nchi. Tusipomuondoa Mungu wa Ikulu pale Ikulu yote yanabaki ni porojo tu.Katiba mpya peke yake haiwezi kuwa suluhisho la matatizo kama wizi, inahitaji mtu alieye serious, ambae anaweza kukemea wizi kwa sababu yeye pia haibi
Kwani JPM hakuwa SERIOUS! Yuko wapi sasa? Huo ni mfano rahisi kuonyesha mtu SERIOUS asivyokuwa na msaada wa muda mrefu. Taasisi imara ndiyo jibu pekee na hiyo itatokana na Katiba Mpya itakayomuondoa Mungu wa Ikulu pale Ikulu.Katiba mpya peke yake haiwezi kuwa suluhisho la matatizo kama wizi, inahitaji mtu alieye serious, ambae anaweza kukemea wizi kwa sababu yeye pia haibi
Suluhisho la matatizo kama haya ni Kuweka utaratibu katika nchi ambao Utawala wa nchi husika unajikita kwenye mifumo ya kitaasisi ambazo zipo imara na competent, badala ya kuwa na Serikali inayoendeshwa kwa mtindo kama wa Magenge ambayo yanamilikiwa na mtu binafsi au yanayomilikiwa na kikundi fulani cha Watu kama ilivyo hivi sasa.Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya serikali za mitaa na serikali kuu, mashirika ya umma nk, ni wizi, wizi, wizi tu!
Watu siku hizi hawana uoga tena. Kwa wale waliompenda Magufuli na ambao hawakumpenda, wote lazima tukiri kwamba katika uongozi wake watu waliogopa kufanya wizi kama huu unaofanyika sasa.
Sasa tujiulize, kwa nini watu hawana uoga tena wa kufanya ufisadi na wizi hadi kufikia kiwango hiki?
Bila aibu wala upendeleo, twapaswa kukiri kwamba kuongezeka sana kwa wizi na ufisadi chini ya Raisi Samia kunachangiwa na watu kuona kwamba (perception) kuanzia ofisi ya Raisi mwenyewe, mawaziri nk, kumekuwa na viongozi na hata mawaziri wapigaji wengi tu. Kama hatutaoneana aibu, basi lazima tuseme uongozi wa Raisi Samia ndio tatizo na ndio unafanya watumishi wa serikali, mashirika na hata vyombo vya usalama kuwa na udiriki wa kuiba kwa kiwango hiki, jambo ambalo tunakiri wasingethubutu kufanya wakati wa Magufuli.
Wengi wetu tunaona kwamba Raisi Samia mwenyewe alihalalisha wizi wa fedha za serikali pale alipotoa kauli kwamba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, kauli ambayo japo anajua imeleta utata, hajawahi kuirekebisha. Raisi Samia anapaswa aelewe kichocheo kikubwa cha wizi uliopo ni perception kwamba kama Raisi amekuwa akitoa fursa nyingi za kutajirisha ndugu zake wa karibu na mbali (nepotism), na sasa hata mawaziri wake na watu wengine kwenye mashirika na serikali kuu na za mitaa wanaona ni halai kujitajirisha kwa kuiba fedha za serikali. Hivi inafikia wakati wowote Raisi Samia anajiuliza utajiri wa kasi wa mtoto wake Abdul unavyotazamwa na Watanzania, kuanzia mawaziri hadi watu wa serikali za mitaa na kwingineko, na unakuwa na athari gani kwa uaminifu wa viongozi na watu walio na fursa za kuiba fedha za serikali? Kwa nini watu wawe waaminifu wakiwa na perception kwamba hata Ofisi ya Raisi nchini haya mambo yanafanyika?
Watanzania wote wamesikia juu ya yale Makonda aliyofunua kule Arusha, na Watanzania wote wanatambua aliyofunua Makonda ni tone dogo sana katika bahari ya wizi wa fedha za serikali unaofanyika nchini kwa sasa. Leo mpeleke Makonda Morogoro, Mbeya, Iringa, Tanga nk, atakutana na yale yale anayoibua Arusha - wizi, wizi, wizi!
Sasa ni wakati wa kikiri kwamba tatizo la wizi nchini ni tatizo linalotokana na udhaifuu wa Ofisi ya Raisi katika kusimamia nidhamu ya fedha na uongozi nchini, na imefikia mahali hakuna mtu anaemuogopa Raisi Samia katika kufanya ufisadi na kuiba. Jambo mojawapo la kisaikolojia, ni kwamba inawezekana watu hawana uoga na kuiba chini ya uongozi wa Raisi Samia kwa sababu hawamwogopi raisi mwanamke, au labda wameona hana ukali au weupe wa kukemea wizi wa fedha za serikali, au kwa sababu tu ya perception kwamba hata Ofisi ya Raisi kuna hizi tabia za kujinufaisha kibinafsi na fedha za serikali.
Sasa je, suluhisho ni nini? Je, suluhisho liko ndani ya CCM au labda chama cha upinzani kuiondoa CCM madarakani?
Ukiniuliza maoni yangu binafsi, nitakuambia sioni ndani ya CCM kiongozi ambae anaweza kuwa mbadala wa Raisi Samia na kuweza kurudisha nidhamu ya fedha za serikali. Niambie, nani? Wale wote wanaotamani kushika nafasi ya uraisi, wote ukiwaangalia unaona kabisa huyu hawezi, na wala yule hawezi. Sioni mtu ndani ya CCM mwenye uwezo wa kurekebisha hali tuliyofikia Tanzania. Nani, Mpango? Makamba? Mwigulu? Majaliwa? Biteko? Jafo? Bashungwa? Hakuna hata mmoja, wote wameshaambukizwa kirusi cha kutoweza na kuweka maslahi ya chama na ukada mbele ya maslahi ya Tanzania.
Basi je, suluhisho liko nje ya CCM kwenye vyama vya upinzani? Tundu Lissu? Zitto Kabwe nk? Inawezekana, lakini ni jambo ambalo haliwezekani kusema Lissu au Ziito kwa mfano, wachukue nafasi ya Uraisi na nchi iwe chini ya uongozi wa vyama vyao. Hilo halitatupeleka popote.
Maoni yangu ni kwamba imefikia wakati tufikirie kuuna serikali ya mseto ambayo itajumuisha vyama vyote vya upinzani, ili tujipange upya. CCM peke yake, au Chadema peke yake, au ACT wazalendo peke yake, hawezi kututoa hapa tulipo. Lazima tutafute namna ya uwajibikaji wa serikali kwa kuwa na serikali ya mseto ambayo hivi vyama vya siasa nchini vitalazimika kufanya kazi pamoja kwa maslahi ya Tanzania, hapo tunaweza kufanikiwa.
Nadhani ubora wa mifumo pekee hauwezi kutatua. Kumbuka, mfumo wa kulipa fedha za serikali kupitia control number ulijikita pia kwenye kupunguza rushwa, na kama mfumo ni jambo zuri tu. Tatizo ni tabia za watu ambao wamejenga katika akili yao kwamba ni halali kuiba fedha za serikali. Sasa tumefikia mahali hata jeshi la polisi, sehemu usikotarajia mambo haya kufanyika, hawaridhiki na rushwa wanazotoza watu wanaona nao pia wana fursa ya kuiba kupitia mfumo wa malipo wa serikali.Suluhisho la matatizo kama haya ni Kuweka utaratibu katika nchi ambao Utawala wa nchi husika unajikita kwenye mifumo ya kitaasisi ambazo zipo imara na competent, badala ya kuwa na Serikali inayoendeshwa kwa mtindo kama wa Magenge ambayo yanamilikiwa na mtu binafsi au yanayomilikiwa na kikundi fulani cha Watu kama ilivyo hivi sasa.
JPM hakufa kwa sababu alikua serious, labda kama una taarifa iliyo tofauti na kile tunachoambiwa kilimuuaKwani JPM hakuwa SERIOUS! Yuko wapi sasa? Huo ni mfano rahisi kuonyesha mtu SERIOUS asivyokuwa na msaada wa muda mrefu. Taasisi imara ndiyo jibu pekee na hiyo itatokana na Katiba Mpya itakayomuondoa Mungu wa Ikulu pale Ikulu.
Tanzania is among of the failed states, Wala siyo ya kuitolea mfano mzuri kwa chochote kile katikà masuala ya utawala bora.Nadhani ubora wa mifumo pekee hauwezi kutatua. Kumbuka, mfumo wa kulipa fedha za serikali kupitia control number ulijikita pia kwenye kupunguza rushwa, na kama mfumo ni jambo zuri tu. Tatizo ni tabia za watu ambao wamejenga katika akili yao kwamba ni halali kuiba fedha za serikali. Sasa tumefikia mahali hata jeshi la polisi, sehemu usikotarajia mambo haya kufanyika, hawaridhiki na rushwa wanazotoza watu wanaona nao pia wana fursa ya kuiba kupitia mfumo wa malipo wa serikali.
Angalia kampuni binafsi za parking. Wanaiba kwa kutengezeza parking fee hewa kupitia mfumo wa malipo uliorahisishwa ili watu walipe kwa wakati wao bila kufukuzana na parking attendants. Halamashauri huko ndiko usiseme.
Tatizo sio mifumo - ni uongozi thabiti ambao watu wanajua uko serious katika kuchukia wizi. Hatuna huo uongozi kwa sasa.
Tanzania ina potential kubwa sana, lakini tatizo kwa sasa ni pale juu, ofisi ya raisi. Samia anaendesha nchi kama mwanaume ambae anadhani ili mpenzi wake ampende inabidi amhonge pesa nyingi kila wakati. Ndio mentality anayotumia ndio maana unasikia kelele za Samia katoa hela nyingi, kaahidi mamilioni ya mradi, Samia kaleta fedha ya mkopo nk. Mentality ni kwamba nikimwaga fedha wananchi watanipenda! Samia has never been, and will never be a philosophical president. Nyerere was, Mwinyi was japo kidogo sana, Mkapa was, Kikwete was not, Magufuli was. Samia ni routine president kama alivyokuwa Kikwete.Tanzania is among of the failed states, Wala siyo ya kuitolea mfano mzuri kwa chochote kile katikà masuala ya utawala bora.
Tanzania ina potential kubwa sana, lakini tatizo kwa sasa ni pale juu, ofisi ya raisi. Samia anaendesha nchi kama mwanaume ambae anadhani ili mpenzi wake ampende inabidi amhonge pesa nyingi kila wakati. Ndio mentality anayotumia ndio maana unasikia kelele za Samia katoa hela nyingi, kaahidi mamilioni ya mradi, Samia kaleta fedha ya mkopo nk. Mentality ni kwamba nikimwaga fedha wananchi watanipenda!
Halafu mie siku zote nimesema wazi, sifa za kumchagua mgombea mwenza wa uraisi sio kwamba ni mtu ambaye atakuwa raisi bora ikiwa raisi aliyepo madarakani akifa. Tanzania imewahi kuwa na mgombea mwenza mmoja tu ambaye alichaguliwa kutokana na umahili wake - Dr. Omar Juma. Na hili lilitukia kwa sababu Nyerere ndie alilisimamia. Kabla ya hapo makamu wa raisi alikuwa raisi wa Zanzibar - ambapo utaratibu huo ulitoa makamu wa raisi makini.
Samia hakuchaguliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli kwa sababu ya sifa za kuwa kiongozi shupavu anaeweza kuwa raisi bora. Hakuna aliewaza kwamba Magufuli angeweza kufa kabla hajamaliza awamu yake. Hata Mpango hajachaguliwa kwa sababu za umahili wake katika kuwa kiongozi.
Na siku zote kuna kuwa na agenda iliyofichika kwamba achaguliwe mgombea mwenza ambae hawezi kumfunika raisi. Kwa hiyo raisi Samia ametokea kuwa raisi wa Tanzania si kwa sababu alikuwa na sifa za kuwa raisi. Hivyo anaposhindwa kusimamia mambo kama udhibiti wa fedha za serikali hatupaswi kushangaa.
Yes, point nzuri, kuanza na Katiba mpya, ambapo jambo moja la msingi iwe kwamba Raisi akifa akiwa madarakani, makamu wa raisi atakuwa raisi ili kuongoza nchi kwenda kwenye uchaguzi mpya ndani ya mwaka mmoja toka kifo cha raisi kutokea, na yeye kama raisi wa mpito hataruhusiwa kugombea uraisi, ili asije akasimamia uchaguzi kwa namna ya kujipendelea, au kutumia kipindi cha maandalizi ya uchaguzi kwa namna ya kujitengenezea mazingira ya yeye kushinda uchaguzi wa raisi.KATIBA MPYA ndio suluhisho la matatizo yetu hata kama sio kwa 100% lakini tukianzia hapo tutafaulu.
Halafu ndio tatizo tulilonalo sasa hivi. Kuna watu mnaona kumkosoa Samia ni kumuonea, wakati mnajua wazi kuna madudu yanafanyika nchini. Tatizo sijui kwa kuwa ni mwanamke, kwa hiyo naturally mnataka kumkinga? Mnahitaji kumwona Samia kama raisi wa nchi, sio kama raisi mwanamke.Rais Samia unamuonea tu katikà suala hili.
Tatizo siyo Rais Samia bali tatizo ni KATIBA MBAYA ILIYOPO HIVI SASA HAPA TANZANIA.
Hayo madudu yanayofanyika Yana baraka zake kutoka kwenye Katiba ya nchi, hata Rais Samia peke yake hawezi kuyazuia. Endapo kama Katiba ya nchi iliyopo ingekuwa nzuri na kuweka mifumo imara ya Utawala wa nchi, basi Watu (watawala) wasingeweza kupata nafasi ya kufanya hayo madudu, aidha wangeshindwa kabisa kuyafanya au wangeweza kuwajibishwa (kusulubiwa msalabani) endapo kama wangekuwa wakaidi na kufanya hayo madudu ambayo yamekatazwa na Sheria (Katiba).Halafu ndio tatizo tulilonalo sasa hivi. Kuna watu mnaona kumkosoa Samia ni kumuonea, wakati mnajua wazi kuna madudu yanafanyika nchini. Tatizo sijui kwa kuwa ni mwanamke, kwa hiyo naturally mnataka kumkinga? Mnahitaji kumwona Samia kama raisi wa nchi, sio kama raisi mwanamke.
Basi unarudi kwenye kichwa cha thread hii - si CCM wala chama mbadala wa CCM wanaweza kututoa kwenye tope tulipo, tunahitaji uongozi wa mseto kama transition ya kipindi kisichopungua miaka mitano ili turekebishe mamboHayo madudu yanayofanyika Yana baraka zake kutoka kwenye Katiba ya nchi, hata Rais Samia peke yake hawezi kuyazuia. Endapo kama Katiba ya nchi iliyopo ingekuwa nzuri na kuweka mifumo imara ya Utawala wa nchi, basi Watu (watawala) wasingeweza kupata nafasi ya kufanya hayo madudu, aidha wangeshindwa kabisa kuyafanya au wangeweza kuwajibishwa (kusulubiwa msalabani) endapo kama wangekuwa wakaidi na kufanya hayo madudu ambayo yamekatazwa na Sheria (Katiba).
Wala hatumtetei Rais Samia kama unavyodhani.