Pre GE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taasisi ziko nyingi hata zile za nidhamu ni sehemu ya mfumo wa kitaasisi. Wanachukua hatua za kinidhamu bila kupepesa macho. Vinginevyo Ramaphosa angelikuwa siyo Rais anayemaliza muda wake pale South Africa. Zimbabwe ni kama Tanzania tu wanasiasa wameichafua nchi hiyo.
 
Bibi chaudele kiukweli kabisa kama nchi ingekua ni nguo basi hii ni "buga" kwake haimtoshi hata akijitahidi kuibana kwa namna gani, hakuna sehemu ambayo unaweza ukasema amefanya vizuri haipo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…