AlmasMAlmas
Member
- Jun 24, 2017
- 33
- 25
Mkuu kila kinachoibwa kina faida .Kwani wakuu mafundi wakishaiba hio mambo wao wanaenda kuifanyia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kila kinachoibwa kina faida .Kwani wakuu mafundi wakishaiba hio mambo wao wanaenda kuifanyia nini?
Sijabisha kabisaa kiongozi,nilitaka kujua tu kazi za hio kitu huku mtaani mkuu.Mkuu kila kinachoibwa kina faida .
Safi sana..Mkuu unachokiongea ni kweli kabisa .lakini au ndio maana nikakwambia gari za toyota zinalemaza sana na kufanya mafundi wengi tuwe wazembe..
Mfano ukikuta gari yenye af sensor before catalic converter na oxygen sensor after catalic converter .
Mkuu ukitoa hizo mambo kwenye baadhi ya gari itakuwa hivi usomaji wa sensory ya kwanza na pili utakuwa karibia na sawa au sawa kitu ambacho kitatafsiliwa kama ni tatizo au ugonjwa kwenye gari so na control box itatoa reaction like kubana mafuta au kuongeza mafuta..
Na kuna gari nyingine ikisha kuwa hivyo ina jiweka kwenye SAFE MODE hapo ndipo gari inakuwa kama guta..mkuu kama utabisha kwa hili nitakushangaa.
Kwenye control box kila kitu kipo programmed so hatua moja inapokosekana hutafsiliwa kama ni shida.
Kama unafaham kitu kinaitwa DPF basi ndio kama catalic.
Hapo kuna mawili aidha ukitoa catalic ufunge emulator au u program control kwa kuremove lampda sensor/oxygen sensor kwenye ecu
Dhibitisha [emoji808]Hembu dhibitisha kauli yako kwa mifano na hoja za kitaalam ukiachana na maneno ya kijiweni..na huo mzigo unatoka wapi?? Na usije ukajiongopea kuna gari ukitoa hayo ujue ndio umeharibu gari linakuwa guta
Mkuu labda mm nikwambie tuu kinachotokea ni hiki unapotoa cut converter kwa gari nyingi hasa tuzitumiazo bongo lazima utaona ina gain au ongeza power na ulaji wa mafuta kuimalika kwa kiasi fulani kwa sababi..Safi sana..
lakini bado ninaendelea kudodosa kama kuna mtu akiyewahi kutoa cat converter kwenye toyota au nissan atumegee uzoefu kidogo ni nini kilitokea baada ya kutoa...
Nimezungumzia nissan na toyota coz naona ni kampuni mbili ambazo mifumo yake inashabihiana sana.
Je baada ya kutoa gari iliongeza nguvu na kumaintain fuel consumption nzuri au gari ilileta matatizo mengine kibao??
Point noted..Mkuu labda mm nikwambie tuu kinachotokea ni hiki unapotoa cut converter kwa gari nyingi hasa tuzitumiazo bongo lazima utaona ina gain au ongeza power na ulaji wa mafuta kuimalika kwa kiasi fulani kwa sababi..
Gari zinazokuja bongo ni used so inamaana cut converter ishaamza kuchoka ndio maana gari nyingi za bongo zikiagizwa used huwezi pata ile fuel consumption inayotakiwa so ww utakapo toa lazima gari itakuwa na mabadiliko flani..lkn kwa gari za kisasa ukitoa mara nyingi huwa ni shida zaidi ikiwa kupunguza perfomance ya gari na kuongeza ulaji wa mafuta
Mkuu unaweza nipa kazi ya SCR (Selective Catalytic Reduction)Mkuu labda mm nikwambie tuu kinachotokea ni hiki unapotoa cut converter kwa gari nyingi hasa tuzitumiazo bongo lazima utaona ina gain au ongeza power na ulaji wa mafuta kuimalika kwa kiasi fulani kwa sababi..
Gari zinazokuja bongo ni used so inamaana cut converter ishaamza kuchoka ndio maana gari nyingi za bongo zikiagizwa used huwezi pata ile fuel consumption inayotakiwa so ww utakapo toa lazima gari itakuwa na mabadiliko flani..lkn kwa gari za kisasa ukitoa mara nyingi huwa ni shida zaidi ikiwa kupunguza perfomance ya gari na kuongeza ulaji wa mafuta
Yes uko sahihi ndugu. DPF iko kwenye hizi common rail diesels.Mkuu unachokiongea ni kweli kabisa .lakini au ndio maana nikakwambia gari za toyota zinalemaza sana na kufanya mafundi wengi tuwe wazembe..
Mfano ukikuta gari yenye af sensor before catalic converter na oxygen sensor after catalic converter .
Mkuu ukitoa hizo mambo kwenye baadhi ya gari itakuwa hivi usomaji wa sensory ya kwanza na pili utakuwa karibia na sawa au sawa kitu ambacho kitatafsiliwa kama ni tatizo au ugonjwa kwenye gari so na control box itatoa reaction like kubana mafuta au kuongeza mafuta..
Na kuna gari nyingine ikisha kuwa hivyo ina jiweka kwenye SAFE MODE hapo ndipo gari inakuwa kama guta..mkuu kama utabisha kwa hili nitakushangaa.
Kwenye control box kila kitu kipo programmed so hatua moja inapokosekana hutafsiliwa kama ni shida.
Kama unafaham kitu kinaitwa DPF basi ndio kama catalic.
Hapo kuna mawili aidha ukitoa catalic ufunge emulator au u program control kwa kuremove lampda sensor/oxygen sensor kwenye ecu
Ndio lakini sio kitaalam sana kwa kukutajia majina ya chemical na gasi zilizopo kwenye hewa na vipi vipi DEF ina convert nn kuwa nn but kwa kiwango ambacho na elewa na nn scr inafanya..Mkuu unaweza nipa kazi ya SCR (Selective Catalytic Reduction)
kweli kabisaKuna biashara imeibuka siku hizi na imekuwa maarufu sana na imeshika kasi sana kwa hapa dar es salaam..
Pindi unapopeleka gari yako gereji au kumpatia fundi huwa wanamtindo wa kuiba catalic converter , masega au alimaarufu kama makinikia.
Mafundi wengi wamekuwa sio waaminifu na kugeuka waharibifu kabisaa..wa magari ya watu..
Najua wengi wenu mtakuwa hamjanielewa ni kwamba kwenye exhaust kuna sehem huwa kuna kuna na kama kibuyu au bomba kubwa zaidi ya sehem nyingine ndani yake huwa kunakuwa na kitu kama masega ya nyuki..huwa yanakuwa kama udongo hivi haya madini yanauzwa bei kubwa sana laki 2 tatu 4 mpaka laki 7 mafundi wanayauza..so wengi wamekuwa wanayabomoa nakuyauza..matokeo yake gari inakuwa na sauti mbaya then ulaji wa mafuta unaongezeka na performance ya gari inapotea kabisaa..hivyo wenye magari kuweni sana makini.
yapo kwenye gari zip na zip...na yanatumika kufanyia nini kwa hao wanunuzi...maana gari kibao zimekufa magarage nikatoe niuze kama ni mchongoKuna biashara imeibuka siku hizi na imekuwa maarufu sana na imeshika kasi sana kwa hapa dar es salaam..
Pindi unapopeleka gari yako gereji au kumpatia fundi huwa wanamtindo wa kuiba catalic converter , masega au alimaarufu kama makinikia.
Mafundi wengi wamekuwa sio waaminifu na kugeuka waharibifu kabisaa..wa magari ya watu..
Najua wengi wenu mtakuwa hamjanielewa ni kwamba kwenye exhaust kuna sehem huwa kuna kuna na kama kibuyu au bomba kubwa zaidi ya sehem nyingine ndani yake huwa kunakuwa na kitu kama masega ya nyuki..huwa yanakuwa kama udongo hivi haya madini yanauzwa bei kubwa sana laki 2 tatu 4 mpaka laki 7 mafundi wanayauza..so wengi wamekuwa wanayabomoa nakuyauza..matokeo yake gari inakuwa na sauti mbaya then ulaji wa mafuta unaongezeka na performance ya gari inapotea kabisaa..hivyo wenye magari kuweni sana makini.
Mambo mengine ni ya kuyapotezea tu. Mafundi wa bongo wote wezi tuUkiitoa hio gari yeyote inakuwa kama altezza😀😀😀
Hahah kweli yani!Mambo mengine ni ya kuyapotezea tu. Mafundi wa bongo wote wezi tu
Kuondoa yale manyama kwenye Catalytic convertor hakuongezi unywaji wa mafuta, bali kunaipa uwezo engine ku breath vizuri sana, na in terms of power, unagain lakini not noticebale at all. The reason hayo madude yameekwa ni ku silence mvumo wa gari na mambo ya mazingira. Vile vile Check engine light haiwaki kwa sababu hayo manyama yametolewa. Kwenye hio mitungi kunakuwa na sensors, kazi ya hizi sensor ni kupima hewa iliyotoka kwenye engine (Oxygen) na kuitaarifu ECU mafuta yanayohitajika kwenye engine. Sensor ikiwa mbovu ndio check engine itakuwakia. Ila kama ni nzima, ina solve hio ishu wenyewe na kuadjust tu.Taa ya Engine inawaka, Ulaji wa mafuta unaongezeka na mlio wa gari unabadirika. Ukitaka kufahamu hapo hapo ni Taa ya engine kuwaka.. Ahsante
si makelele