Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Mungu ibariki Chadema
Naotoa rai siku mbili kabla ya kupiga kura Wakristo na Waislam tufunge na kusali wale wote wenye nia ovu au wenye mpango wa kufanya kinyume na matakwa ya wananchi wanyonge Mwenyezi Mungu akawaeleleze mchana kweupeee naaamini MUNGU atasikia na atajibu maombi yetu .
 
Baada ya mahudhurio viwanjani kudoda Chadema wamehamia kwenye mapokezi ambapo wanakodi bodaboda na honi zao na mbwembwe zao za uendeshaji na kulipa vijana wa kuruka ruka njiani Kama chura katumbukia kwenye sufuria la moto la mpika supu ili kuvutia mabarabarani watu wawasogelee kuwaona Halafu wanasema cheki anavyokubalika!!!

Nenda viwanjani uone vituko bodaboda wote wakishamfikisha uwanjani wanambwaga Hapo hapo hao wanaondoka zao kuendelea na shughuli zao hawana Mpango na Mkutano wake

Anayebisha aeleze huo umati wa bodaboda mbona hazionekani hapo mkutanoni zimepaki kusikiliza mgombea?

Cha kukodi hakikai mkutanoni!!!!
 


Hivi kumbe uko empty namna hii kichwani? Sikuwahi kujua ..dah...wewe umesoma had level gani kwanza!!!!
 


Akilinyake Ina utasa
 
Tundu Lissu akitaka Kura, anachopaswa kufanya ni kuzungumzia vizuri issue ya Maji. Mwanza tunapata tabu Sana ya Maji. Maji shida Sana na wakati ziwa lipo karibu tu mita chache.

Hadi aibu jamani...hivi shida ni nini
 
Yaani watu ni kiducha sana!! Alifikiri hapa Mwanza ni Kanda ya Kaskazini eeeh!!
 
Vibaka watupu, Hawa vijana wakikurya wa heche watatuharibia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…