Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Kuna umuhimu wa barabara zinazoingia jijini Mwanza ziwe njia nne kutokea Kisesa na Usagara.itapendeza
[/QUO kabxaaa,yaan barabara jiji kama uchochoro vile
kimbunga lissu 2020Huwezi kuua kirahisi rahisi kilichomo ndani ya mioyo ya Watanzania KAMWE haiwezekani endeleeni kujidanganya tu.
ulikuwepo au ndo uliletewa taarifa na mchepuko wako?Lissu kuleta kishindo Mwanza ni ndoto za mchana. Kwa wadhamini tu alipita hata boda boda hawakuwa na muda nae
Ulionq nn ww mwana kulaaniwa?ule umati umekuchanganya hujui hata cha kuandikaTuliwaambia hawakusikia wacha wayaone
Kama ni bomu basi ni ICBM Bwana Yule Lazima apate pressure Hatopata Usingizi leoHakika kapagawa.Mziki wa Mwanza si wa kitoto
Duh...!Hiloo hata haichekeshi. Lionee
Sawa, mlaani Lissu kwasauti kibwa.Tunalaani yoyote yule aliyemleta yule mzee tapeli wa kisiasa, bila kujali yeye ni nani.
Kwani hujui hilo? Mbona hawara ya bibi yako mzaa babu yako anajua hilo? LioneeDuh...!
Kumbe wewe unaingia humu JF ili uchekeshwe?
Kwani hujui hilo? Mbona hawara ya bibi yako mzaa babu yako a Najua hilo? LioneDuh...!
Kumbe wewe unaingia humu JF ili uchekeshwe?
Kwani anazuiwa kurudi tena huko?Na hilo ndilo kosa. Hayo majiji angemalizia siku za kuelekea uchaguzi
Sawa, mlaani Lissu kwasauti kibwa.
We
Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.
Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.
Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.
-------------------
Yaliyojiri mkutanoni Viwanja vya Furahisha
Akihutubia Malaki ya watu mgombea wa Urais Tundu Lissu alilaani serikali ya CCM kwa kumhujumu zao la Pamba ambalo no kitega uchumi Cha watu wa Kanda ya ziwa.
Lissu amesema serikali yake itawajali Wafanyakazi na kila mwaka wataongezewa mshahara kwa mujibu wa sheria za nchi.
Amesema serikali yake inafuata kauli Mbiu ya Uhuru Haki na Maendeleo ya watu.
Amesema serikali yake itaondoa ukandamizaji wa wafanyabiashara ambapo kwa Sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania imekuwa sehemu ya kuhujumu na kuua biashara za Watanzania.
Awali Lissu alisema tangu arejee nchini Mapokezi ya Mwanza ndiyo yamevunja Rekodi kwa wingi wa watu
View attachment 1555426
View attachment 1555625
View attachment 1555626
View attachment 1555627
View attachment 1555628
Yani CCM hawaja wahi kushinda na hawata wahi kushinda!!Kuwe na fair play basi, sasa mnapitisha wabunge bila kilupingwa kisha mnajimwambafay.
Una tatizoKwani hujui hilo? Mbona hawara ya bibi yako mzaa babu yako anajua hilo? Lionee
Mkuu unafuatiliwa UAE kuwa marafiki na Israel.Una tatizo