Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Magufuli hiyo kanda yote ni yake subiri siku akitua hapo.
 
Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.

Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.

Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.

-------------------

Yaliyojiri mkutanoni Viwanja vya Furahisha

Akihutubia Malaki ya watu mgombea wa Urais Tundu Lissu alilaani serikali ya CCM kwa kumhujumu zao la Pamba ambalo no kitega uchumi Cha watu wa Kanda ya ziwa.

Lissu amesema serikali yake itawajali Wafanyakazi na kila mwaka wataongezewa mshahara kwa mujibu wa sheria za nchi.

Amesema serikali yake inafuata kauli Mbiu ya Uhuru Haki na Maendeleo ya watu.

Amesema serikali yake itaondoa ukandamizaji wa wafanyabiashara ambapo kwa Sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania imekuwa sehemu ya kuhujumu na kuua biashara za Watanzania.

Awali Lissu alisema tangu arejee nchini Mapokezi ya Mwanza ndiyo yamevunja Rekodi kwa wingi wa watu
View attachment 1555426
View attachment 1555625
View attachment 1555626
View attachment 1555627
View attachment 1555628

Hivi wale wanajitutumu kupinga picha na clip za wingi wa watu kwenye mikutano ya Lissu wakisema ni picha za 2015 wanasemaje kwa hili.
 
Sisi kama CCM tunasema tupeni mda tukifika mwanza mtacompare ,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom