Tundu Lissu akitaka Kura, anachopaswa kufanya ni kuzungumzia vizuri issue ya Maji. Mwanza tunapata tabu Sana ya Maji. Maji shida Sana na wakati ziwa lipo karibu tu mita chache.Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha.
Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa
Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano minne ya kampeni ambapo mitatu ilikuwa jijini DSM na mmoja ulikuwa jijini Arusha hapo Jana.
Tatizo Lisu kwa kuwa anaumwa andhani kila mtu hitaji lake Ni kuwa na bima ya kutibiwa.Nenda mijini watu kibao hawana bima na hawana mpango nayo hata ukisema wakachukue Bure anakwambia ya nini? Mimi sijaugua miaka Saba sasa malaria niitake ya Nini ? Nikiumwa naenda duka la dawa nanunua Panadol Mia tano biashara imeishaFicha upumbavu wako wewe, si lazima kila jambo ulizungumzie! Malaria ipo Tabora na Singida itakosa Mwanza? Eti Mwanza wana afya! Sogea hapo Bugando uone wasukuma wanavyotaabika.
Kuna mwanadamu wa leo asiyehitaji bima? Kujua umuhimu wa bima kunahitaji hata elimu ya chekechea? Uvyama usitutoe akili. Tumia nafasi yako kuwashauri wakubwa wa chama chako kutambua na kuboresha huduma muhimu za kijamii kwa wananchi pale mnapopata fursa ya kuongoza, si kuwafanya wananchi mazuzu.
Wanatoka mikoa mingine sio wenyeji wa Mwanza. Nenda Bugando hapo kahakiki.Msukuma wa Mwanza kumkuta anaumwa sio rahisiBugando na sekou toure kumefurika wagonjwa tele, hospital ya Butimba, vituo vya afya Kama vile buzuruga, nk watu wamefurika, unadhani hizo ni kumbi za harusi na hao watu wako harusini?!
Endelea kuwa hewani, utapata jibu baadae..Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli
Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni
Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Baadaye wapi? Mkutano umedoda huo Enzi za Lowasa huo uwanja ulikuwa tayari umejaa kuanzia saa moja asubuhi .Huo wenu wa kusubiri Giza liingie Halafu mnaleta picha za 2015 mkiwa mumme edit zikiwa na Giza Giza Mkutano gani huo?Endelea kuwa hewani, utapata jibu baadae..
Kama umeamua kuwa kada wa chama chochote socialize vya kutosha kwanza ili ujue maisha ya watanzania ambao ndio mtaji wako. Sasa jamaa unapigia chapuo chama kitatue shida za wananchi kumbe hata shida zao huzijui!Tatizo Lisu kwa kuwa anaumwa andhani kila mtu hitaji lake Ni kuwa na bima ya kutibiwa.Nenda mijini watu kibao hawana bima na hawana mpango nayo hata ukisema wakachukue Bure anakwambia ya nini? Mimi sijaugua miaka Saba sasa malaria niitake ya Nini ? Nikiumwa naenda duka la dawa nanunua Panadol Mia tano biashara imeisha
Hitaji kuu la watanzania sio bima ya afya hasa wa kawaida mijini na vijijini kwenye nchi zetu za kiafrika
Lisu anahangaika kuifanyia marketing lakini Ni concept inayoweza eleweka zaidi kwa middle class wanaoumwa ambao kutwa Ni wao ba hospital hospital na wao
Sisi Mwanza piga ua ni Magufuli tuuuu!!Mwanza msituangushe.Huyo ndo mtetezi wa kweli wa wanyonge....
Huyu maza Kama mke wangu Ni makofi na talaka juu, hivi na mumewe huwa anambusu hivyo?View attachment 1555051
Jamani hili bango la kampeni vipi
Mtu atoke mkoa mwingine aje kutibiwa sekou toure, Butimba ama buzuruga?! Kwa bugando sawa sababu ni hospital ya rufaa ya kikanda, lakin hospital za mkoa na wilaya ziko kila mkoa na kila wilaya, haya vipi hao waliofurika sekou toure, butimba, buzuruga na igoma?!Wanatoka mikoa mingine sio wenyeji wa Mwanza. Nenda Bugando hapo kahakiki.Msukuma wa Mwanza kumkuta anaumwa sio rahisi
Wana miiki ya chuma hao watu
Mwache aiingie kwenye 18 aone! Asifikiri Mwanza ni Arusha au Moshi. Amuulize Lowassa atamsimlia vizuri.Amekuwa akiponda ununuzi wa Ndege jibu atalipata mwanza Ndege ukiuliza wauza samaki mitaani watakuambia jinsi abiria wa Ndege wanavyobeba samaki kwa wingi
Hapo akienda na porojo zake za kupinga ununuzi wa Ndege aone wavuvi na wauza samaki watakavyoguna hata Kama Ni Chadema
Ndege nyingi hufurika Mwanza kubeba samaki kupeleka nje ya Nchi kibao akiponda ununuzi wa Ndege Mwanza hata mtu wa mtaani atamzomea sababu wanajua umuhimu wa Ndege kwenye biashara yao ya samaki
Hana Mume huyo!Huyu maza Kama mke wangu Ni makofi na talaka juu, hivi na mumewe huwa anambusu hivyo?
Busisi ipo Mwanza mjini? Wewe ni wa kupuuzwa tu.Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli
Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni
Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Cask,kijiji bar and grill,The joint,The luxe,sky loungeNiko Mwanza.. sehemu gani pazuri pakulia tungi?
Hizi ndege zinachukua minofu na kutuachia mifupa - mapanki. Uwiiiiiii!Amekuwa akiponda ununuzi wa Ndege jibu atalipata mwanza Ndege ukiuliza wauza samaki mitaani watakuambia jinsi abiria wa Ndege wanavyobeba samaki kwa wingi
Hapo akienda na porojo zake za kupinga ununuzi wa Ndege aone wavuvi na wauza samaki watakavyoguna hata Kama Ni Chadema
Ndege nyingi hufurika Mwanza kubeba samaki kupeleka nje ya Nchi kibao akiponda ununuzi wa Ndege Mwanza hata mtu wa mtaani atamzomea sababu wanajua umuhimu wa Ndege kwenye biashara yao ya samaki
Mimi ni mkazi wa kijiji cha Kahumlo - Busisi. Kura yangu kwa Lissu anayeniahidi uhuru, haki, na maendeleo yangu.Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli
Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni
Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Hakika utabarikiwa kwa uamuzi huu wenye hekima ya kimbinguMimi ni mkazi wa kijiji cha Kahumlo - Busisi. Kura yangu kwa Lissu anayeniahidi uhuru, haki, na maendeleo yangu.
Tumepiga za Drone,imepatikana hii.Baadaye wapi? Mkutano umedoda huo Enzi za Lowasa huo uwanja ulikuwa tayari umejaa kuanzia saa moja asubuhi .Huo wenu wa kusubiri Giza liingie Halafu mnaleta picha za 2015 mkiwa mumme edit zikiwa na Giza Giza Mkutano gani huo?
Picha hazipigwi toka juu .Za video mnaunga mnachukua video ya 2015 mnaweka na ya Lisu ya Leo !!!
Pigeni za drone Kama kipindi Cha Lowasa
Hongera zenu. Naomba huko kannda ya ziwa mkutano mmoja uwe Chato tena ikiwezekana iwe pale pale nyumbani kwa Nduli Idd AminMgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha.
Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa
Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano minne ya kampeni ambapo mitatu ilikuwa jijini DSM na mmoja ulikuwa jijini Arusha hapo Jana.
Chadema katika uchaguzi mkuu huu inatumia kauli Mbiu ya Uhuru,Haki na Maendeleo ya watu.
#UhuruHakiNaMaendeleoyawatu#
#Niyeye2020#
Ulishaona wauza mapanki Mwanza wangap? Kila Kona sato kibaoHa
Hizi ndege zinachukua minofu na kutuachia mifupa - mapanki. Uwiiiiiii!