Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Hoja yako yaweza kuwa nzuri, lakini hebu kwanza tuwekee hapo nakala ya (huo) utafiti uliyoufanya kuhusu hayo unayosema
 
Hawa Makamanda hawachoki???? Yaani ni kupandisha nanga na kushusha tanga.

Wenzao wazee wale mkutano mmoja tu dodoma wamelala siku 10πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahaaa ndege za jpm hazina manufaa yoyote kwa wananchi. UTAJIONEA
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Jioni ulete ripoti.
 
Yes, Aendelee kueneza sera zinazoleweka kwa watanzania, sio wale wanatukana wanawake kila siku, wamechanganyikiwa.
Yule mzee wa kutukana na kuongea mambo ya kutiana tu naona pumzi imekata. Mkutano mmoja tu basi hoi bin batani. Kapoteana.
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Wewe unaijua Mwanza au umehadithiwa? Muulize hata Sirro alipokuwa RPC 2010 yalimpata mambo gani?
 
We kweli kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…