Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
Kila kitu kinakwenda kuwa wazi.

Hatimaye uhuni wa Chadema unakwenda kuwekwa hadharani.
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!
Kumbuka pia kwamba ni mwalimu wa kwanza wa darasa la sheria aliposoma Paskali Mayala ‘Manjaa!’
 
Jaji amepanga kesi kutajwa tarehe 13Juni2022, siku moja kabla ya kuwasilisha Bajeti Kuu ya serikali, Siku chache baada ya kuhitimisha bajeti za wizara mbalimbali.
Hii imekaa vizuri kwa maana Serikali,itakuwa imepokea michango ya wabunge wa upinzani wa CHADEMA,
Kuna uwezekano mkubwa uamuzi ukatolewa baada ya kikao hiki cha Bunge.

Funzo kwa CHADEMA
1). CHADEMA ilipaswa kuwaachisha wabunge (Mdee na wenzake) na kupendekeza majina ya wabunge wengine ili shughuli za Bunge ziendelea,(wangejifunza kutoka kwa Prof Lipumba wa CUF).
2). CHADEMA iache mambo ya kususa,ukisusa watu wanakula,walisusia matokeo ya uchaguzi 2020, watoto wa mjini wakachukua fursa.

Ndio umeandika Nini?. Unafurahia kuwa na mahakama inayopewa maelekezo na serikali?. Wewe huoni tatizo?. Ndio maana serikali inawadharau wananchi na kuwaona hawana maana kutokana na akili Kama hizi.

Kwa hivyo chadema wakubaliane tuu na matokeo ya uchaguzi ambayo serikali imeyapanga? Yani wapeleke wabunge kwenda kula tu na sio kusimamia sheria na katiba?.
 
Kama sio gaidi ni msaliti wa nchi yake.
Kuwaita akina halima nje ya nchi, kuwashawishi wawe wakimbizi wa kisiasa, huo ni uterrorrist!

Mtatunga maneno mengi lakini hamtaridhika. Mtabaki na huyo mama yenu wa michongo. Maisha magumu halafu bado mnafanya ujinga wa kisiasa. Bora jeshi lichukue nchi.
 
Kama sio gaidi ni msaliti wa nchi yake.
Kuwaita akina halima nje ya nchi, kuwashawishi wawe wakimbizi wa kisiasa, huo ni uterrorrist!

Gaidi ni wewe. Unaujua ugaidi au unahusikia?. Hivi watu wakiamua kufanya ugaidi mtakaa kweli?.
 
mbona kama wameshtukiza!?
hizi mahakama za michongo hizi..!?
.
IMG_20220516_152743.jpg
IMG_20220516_152705.jpg
IMG_20220516_152632.jpg
 
Wabunge wa kimchongo, wanabebwa kimchongo. Maisha yanakimbia kuliko kasi ya treni ya mwendo kasi
 
Siasa zetu tamu sana

baada ya karibia mwaka kuwa busy na hashtag za kupigania Mbowe kuachiwa

sasa hivi wametengenezewa agenda ya kuwaweka busy hadi mwishoni mwa 2024

Tunashukuru wabunifu wetu

Wakati nchi zingine wanabuni kupeleka satellite mwezini nyie wapumbafu na wajaa laaana mnawaza kubuni mbinu dhidi ya chadema. Kwa akili hizi ndio maana tumeshuka kwenye Uchumi wa kati.
 
... nimeilewa sana hiyo observation; wanataka kuwa wabunge wa kutokea hewani? Nikajua la muhimu ilikuwa kwanza kupigania uanachama ili ku-justify ubunge! Ndio mnasema Mdee ni mwanasheria? Kweli ulikuwa ubunge wa Ndugai na Magufuli!
I noted that as well.
 
Sasa Spika aliwaruhusuje kuendelea kubaki Bungeni wakati hakuwa na zuio la Mahakama?

Eti huyu ndio mwanasheria wa kiwango cha Phd na ndio anaongoza Bunge.

Hii nchi imepatwa mchana kweupe


Kwa vituko hivi, ndio mjue hapa hata kesi hamna.

Huyo yupo Hapo kama kilaza hamna kitu kopo tu.
 
mpaka kesi iishe na ubunge ulishaisha 😁😁😁

thinis is Tanzania 🇹🇿 bhana...
 
Back
Top Bottom