Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Haya nitakujibu mimi tu , ni mepesi sana !
 
Endelea kuwakera Lissuuu.... Hadi waote nywele mwaka huu.
 
Wewe ni moja kati ya watu ambao wanahitaji kusaidiwa juu ya matumizi yako ya akili! Ili kukusaidia, itabidi tukuamulie nani awe kiongozi was nchi yako, upige au usipige kura, tutakuamulia!
Nisamehe bure kama nimejukwaza ila ukweli ndio huo, no way out! Ahsante, waambie na wenzio!
 

Maendeleo ya vitu sio kabisa makamanda. Maendeleo ya watu ndio kila kitu.
 
Jiandaeni kisaikolojia. Oct 28, ni mkwaju kwa kwenda mbele.
 
Nmeleta sera yake umeshindwa ichambua unaanza kuleta propaganda.

Mtaji wa CCM ni watu wenye IQ ndogo kma ww. Nina uhakika hta ilani ya CCM hujasoma ila unashabikia tu bila reasoning!!

Hvi nkikuhoji Ajira million mbili mlizoahidi 2015 ziko wapi utajibu nni? Viwanda je? Embu tusivurugiane usiku
 
View attachment 1604230
Maendeleo ya vitu sio kabisa makamanda. Maendeleo ya watu ndio kila kitu.
Wanaposema ndege sio kipaumbele hawamaanishi watu binafsi wasiwekeze kwenye aviation la hasha bali hela ya kodi ambayo inapaswa iwe reallocated kwa wote ielekezwe eneo ambalo linagusa maisha ya watu moja kwa moja.

Mfano viwanda au kutoa mitaji ya biashara, bima ya afya kwa wote ama kilimo cha umwagiliaji n.k.

Tatizo hamuelewi context ndio maana mkisimama utaskia hawatako barabara!! Hvi nani hajui umuhimu wa ndege? Ila je ndio eneo ambalo serikali ilipaswa kuwekeza kwa sasa? Unafahamu ooprtunity cost kma wangewekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji? Unadhani kuna mpinzani angeinua mdomo?
 
angekuwa anahangaika sidhani kama angekuwa kapiga kampeni sehem zote alizotembelea.....kama huna hoja funga domo au cheki cartoon maybe ndio saiz yako na wana lumumba wenzako
Mbowe anafuja pesa za hilo genge, nyie washabiki mwatoa povu na kichangishwa kizwazwa kabisa. Hiyo saccos ya Mbowe, ni 100% mali yake mwenyewe. Watanzania makini hatuwezi chagua upuuzi, Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele.
 
Bora umejaribu kujitutumua kuokoa jahazi...maana wana Sumbawanga (Taja kabila), wamekula kona!!! Ha ha haaa! Turudi kwenye hoja zako.
===
1. Aisee, ebu nipe shule kwanza. Maswali ya kisera yakoje!? Unasema umeona speculations, katika maswali karibu yote nimetoa chanzo ama msingi wa swali tena kwa ushahidi! Iweje utwambie kuwa maswali yale ni speculations!? Ama unataka kutengeneza "definition " mpya ya speculations!

2. Kuuzwa kupo, Mkuu, dunia hii! Hivi unajua kwa nini kuna sheria kali za kuzuia " human trafficking" karibu kila nchi duniani!? Mkuu, kuna bilionea wa fedha za dola za Marekani, inasemekana alijiua kiwa mahabusu huko huko US!! Bilionea huyu inasadikika alikuwa nabiashara haramu ya kuwa'uwauza' watoto kwa matajiri wenzake na watu wengine mashuhuri kwa mambo ya 'starehe' haramu! Taarifa zilizopo huyo bilionea alikuwa anawanunua !! Wahathirika wakubwa biashara ya bilionea huyo ni Thailand na Indonesia na nchi nyingine za Latin Amerika!

3. Hakuna nchi inakubali slaverly karne hii wazi wazi, lakini kuna baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati, zinatuhumiwa kuruhusu mfumo wa kupata wafanyakazi na ufanyakazi nchini humo kuwa na chembechembe za " u- slaverly "! Najua utauliza nitoe mfano! Sawa, Mkuu, Unajua namna wapiganaji wa vikundi vya kigaidi wanavyopatikana!!? Ukiuchimba mfumo wa upatikanaji wa wapiganaji hawa hasa huko Mashariki ya kati na Afrika Ya kati na hata kule kwa Durtete bara Asia utagundua, kwa namna moja ama nyingine zipo nchi karne hii zinafanya Slaverly! Maelezo haya, yanadhibitisha uwepo wa " utumwa mambo leo".

4.Mkuu, sasa nimeelewa kweli Lissu amewanyesha sumu za uongo kuwa wakati wa ukoloni, Madaraka yalikuwa kwa wananchi!!! Mnatia aibu sana!! Yaani unafikiria Rhodesia chini ya Smith wananchi wakati nuo walikuwa na hali nzuri ya maisha kiasi kwamba kwa Serikali dhalimu za Rhodesia kuwekewa vikwazo, wananchi/ waafrika wenzetu walikuwa waathirika wakubwa !?

Duh!! Umenishangaza sana!! Hata hivyo, kama kweli ulielewa vyema nia ya Mwalimu Nyerere na wenzake wakati huo, ebu uwaambie umma wa wanaJF, ni vikwazo vya aina gani Nyerere na wenzake walitaka ziwekewe serikali za kikoloni za Rhodesia!! Pia ujiulize kama Vikwazo ambavyo alitaka serikali ya Tanzania na wananch wake wawekewe viko sawa na vya Mwalimu Nyerere na wenzake!!!

5. Rejea point namba 4 hapo juu.

6.Naam kwa uelewa wako mkubwa ebu tupe ufafanuzi wa hoja yako hii na uioanishe na maelezo niliyotoa kwa maswali niliyomuuliza mgombea Ndugu Lissu!

7.Hii hoja nimeshindwa kuihusanisha na maswali niliyomuuliza ndugu Lissu, ebu dadavua zaidi ulimaanisha nini!

8. Katika hatua nilizopitia za kujifunza nimefanikiwa kufundishwa somo la uraia( basic). Lakini nikiri wazi bila kificho, elimu kubwa zaidi ya uraia ( applied) nimekutana nayo hapa JF. Kuna uwezekano mkubwa, hata wewe Mkuu,Zitto junior, unaweza kuwa mwalimu wangu wa somo la uraia hapa hapa JF.
===
Karibu kuzichaka pointi nane nilizoibua kutokana na bandiko lako hapa jamvini.
 
Kama utaendelea kuamini ya kwenye kampeni, lazima usiku wako uvurugike!
 
Akirudi hatutalimia meno,sijui tutalimia kitu gani,naona hali itakuwa ngumu zaidi ya hii miaka 5,kuminywa kwa haki kutaongezeka maradufu.
 
Najibu original post yako maana naona unatanua mjadala kwa irrelevant issues.

1. Vikwazo alivyotaka nyerere vilikua vya kiuchumi huko Sauzi na Rhodesia, mpaka kushiriki masuala ya kimataifa walifungiwa je ina maana Mandela na Nyerere walisaliti watu weusi kwa kulilia vikwazo?
Jibu ni kwamba Serikali na Nchi ni vitu viwili tofauti ndio maana Nyerere alipeleka majeshi kupigana na Idd Amin lakini sote tunajua wananchi waliathirika sana na ile vita na hizo ndio cost za kudai uhuru. Serikali ikiminywa itasurrender otherwise itapinduliwa na wananchi kupitia sanduku la Kura maana ndio imewaingiza kwenye shida.
Kwahiyo Lissu anapambana na serikali sio wananchi otherwise unionyeshe kivp Mandela na Nyerere kuomba vikwazo vya uchumi haifanani na Lissu. Weka hapa hizo tofauti.

2. Kurudisha uongozi kwa wananchi kma enzi za ukoloni. Sasa mtu akisema tujenge reli kma ilivyokua enzi za ukoloni ina maana anaongelea biashara ya utumwa? Au kaongelea specifically reli.

Usilete speculation, yye kasema anaiga administration ambayo ni decentralized ssa wapi alisema ata replicate na mambo mengine ya hao wakoloni?

Kwanini unaleta speculation?

Bottom line sera ya majimbo ya CHADEMA ndio sera kuu ya chama na ndio Lissu anasimamia so usiende out of context. Afterall slave trade haina soko sahvi maana dunia inainvest kwenye AI hao wa biashara za watu ni mahousegirl na mabarmaid tena kwa black market ambayo inafanywa na mtu yeyote tu sio mpaka awe rais.

3. Speculation nyingine!! Ni wapi hapo alisema waongeze ubeti!! Hiyo ni idea za vijana wa hamasa kina Twaha Mwaipaya sasa Lissu anahusikaje na u-MC wa mikutano?
Hakuna sheria inakataza kuwa na wanasheria wa kimataifa ndio maana hta CCM mmeafiki sheria ya permanent sovereignty ikubali suala la arbitration kufanyika nje ya nchi!! Otherwise unaleta double standard.

Una jingine?
 
Kama utaendelea kuamini ya kwenye kampeni, lazima usiku wako uvurugike!
Kipi cha kwenye kampeni? Mliahidi kwenye ilani hivyo iliwekwa kwenye mpango wa maendeleo wa miaka 5!!

Shida hamsomi mnakimbilia kucomment tu mitandaoni. Na nyie ndio mtaji wa CCM, elimu ndogo hta kuchambua ilani na bajeti hamuwezi!!

Huyo JPM toka aingie madarakani hakuna bajeti imetekelezwa kwa hta 70% ila wanaCCM wangapi wanajua?

Endeleeni tu kushabikia ujinga
 
Kwa ujinga huo, tutakuamulia tena safari hii!
 
Naomba mawakara watafutiwe usafiri wa uhakika la sivyo wataporwa fomu za matokeo na watu wasiojulikana alafu iwe imetoka hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…