Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Tangu uhuru leo ndio mnachimba mitaro ya maji?
 
Magufuli anahangaika sana,nduguze wa kanda ya ziwa hawamuamini kwa kuwa amewadhulumu pamba na kama haitoshi ameharibu soko la mpunga so,mwaka huu mpunga hauna soko kabisa!
Walaji (na ndio wengi) tunamshukuru, mchele umepungua bei.
 
Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Mbona huulizi kwani hilo dubwasha LENU haliendi kusini linaogopa sakata la kupora watu KOROSHO kifedhuli??? Kampeni ni sayansi zuzu wewe
 
Mimi ni CCM mwenzako, mwanachama hai na Kada. Sio kila mtu humu akiongea jambo ambalo haliifurahishi CCM na serikali unadhani mpinzani. Kuna mambo tu hatuwezi kuandika kwa sababu mbalimbali
 
Mfano wa kitindiga! Huyo mzee wako kichwa kimeoza!
 
Mimi ni CCM mwenzako, mwanachama hai na Kada. Sio kila mtu humu akiongea jambo ambalo haliifurahishi CCM na serikali unadhani mpinzani. **** mambo tu hatuwezi kuandika kwa sababu mbalimbali
MwanaCcm aliye Huru kifikra anaweza kuwa wa msaada sana kuliko mwanaCcm wa Aina ya Polepole na Bashiru ambao hawaongei uhalisia. WanaCcm wa Aina hii itabd tujiepushe nao kwani wengi ni wanafki na wachumia tumbo. Hawana ujasiri wa kuongea ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…