Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini




Sijui anawaongopea nini huko leo, maana kila sehemu anaropoka tu.

Manyoni awali leo aliwaambia eti Chato kuna uwanja wa ndege ila hakuna maji na hakuna kinachofanywa.

Hivi CDM siku hizi hawana ata research team ya kumsaidia huyo mental case kabla ya kuropoka ovyo.

Napata shida sana kuelewa watu wanaowekeza imani zao kwa Lissu.

Tangu uhuru leo ndio mnachimba mitaro ya maji?
 
Magufuli anahangaika sana,nduguze wa kanda ya ziwa hawamuamini kwa kuwa amewadhulumu pamba na kama haitoshi ameharibu soko la mpunga so,mwaka huu mpunga hauna soko kabisa!
Walaji (na ndio wengi) tunamshukuru, mchele umepungua bei.
 
Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Mbona huulizi kwani hilo dubwasha LENU haliendi kusini linaogopa sakata la kupora watu KOROSHO kifedhuli??? Kampeni ni sayansi zuzu wewe
 
Inner circle ipi ? mnatiana ujinga tu usio na kichwa wala miguu nyinyi wajinga wa chadema.Kwa akili zenu ndogo na fupi mnajipa moyo kabisa kwamba huyo mtu wenu anaweza kushinda huu uchaguzi ?

Na hizo dalili zako ambazo unasema sio nzuri ,hakuna kitu kama hicho lakini kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri mnaaminishwa hivyo ili muweze kuendelea kupayuka.Haya yalikuwepo hata 2015 ,maneno mengi kuliko ukweli wa mambo.

Mlikodi mpaka genge la wahalifu wa kimtandao ili kutafuta ushindi lakini nchi ilikuwa macho na likasambaratishwaa.Ni kweli mnajitahidi sana humu mtandaoni kwa kuwa mnalipwa lakini mtaaibika sana baada ya matokeo na sijui mtaweka sura zenu wapi.Mwenzenu huyo hana tatizo,yeye atarudi kwao.
Mimi ni CCM mwenzako, mwanachama hai na Kada. Sio kila mtu humu akiongea jambo ambalo haliifurahishi CCM na serikali unadhani mpinzani. Kuna mambo tu hatuwezi kuandika kwa sababu mbalimbali
 
Mkuu sana Kabikula jana nilicheka nusu nipaliwe na mate.
Although Mzee wangu alisema kwa kiingereza mimi nitamtafsiri kwa kiswahili ' alisema Kuwa watu wengi mkutanoni sio lazima wakupigie kura.

Mkiwa watu wawili mmoja kapeleka mbuzi mnadani na mwingine akabeba nyani kwenda mnadani, wakati mkiwa mnadani watu wengi sana wataenda kumuona nyani, lakini wakati wa kuondoka watanunua mbuzi ambaye ndio nia halisi ya kwenda mnadani na kuondoka nae mbuzi.

Mwenye nyani watamuacha na nyani wake kwa kuwa walienda kwenye mnada wa mbuzi waka mkuta mtu kaleta nyani.

Mahala panauzwa mbuzi wewe unapeleka nyani.
Mfano wa kitindiga! Huyo mzee wako kichwa kimeoza!
 
sheikh ponda naye yupo kwenye msafara na hapo alikuwa akiwasalimia wananchi wa dodoma waliohudhuria kwenye mkutano
IMG_20201017_174525_383.jpg
 
Mimi ni CCM mwenzako, mwanachama hai na Kada. Sio kila mtu humu akiongea jambo ambalo haliifurahishi CCM na serikali unadhani mpinzani. **** mambo tu hatuwezi kuandika kwa sababu mbalimbali
MwanaCcm aliye Huru kifikra anaweza kuwa wa msaada sana kuliko mwanaCcm wa Aina ya Polepole na Bashiru ambao hawaongei uhalisia. WanaCcm wa Aina hii itabd tujiepushe nao kwani wengi ni wanafki na wachumia tumbo. Hawana ujasiri wa kuongea ukweli.
 
Back
Top Bottom