Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Mkutano wa Lissu hapa Dodoma mjini unaanza saa ngapi na utakuwa sehemu gani tuanze kujisogeza mdogomdogo?
 
Kama CCM imechakaa basi Magu akifeli aanzishe chama chake.
 
Mwingine hotuba nzima hana cha kuongea zaidi ya kusema

Saaasa... Saaasa.. sasaaaaa..😂.
Tunasubiri uchaguzi uishe tuone kama atabaki, lazima atimke tu.
Kuna ng'ombe mmoja yy kazi kusema niletee gwajimaaa
Niletee gwajimaaaaaa
Niletee gwajimaaaa....

Nadhani analenga mambo mawili...
1. Kuendeleza ajenga ya kuratibu ukabila
2. Kusuguliwa km anavyopenda kusuguliwa
 


Sijui anawaongopea nini huko leo, maana kila sehemu anaropoka tu.

Manyoni awali leo aliwaambia eti Chato kuna uwanja wa ndege ila hakuna maji na hakuna kinachofanywa.

Hivi CDM siku hizi hawana ata research team ya kumsaidia huyo mental case kabla ya kuropoka ovyo.

Napata shida sana kuelewa watu wanaowekeza imani zao kwa Lissu.
 
Kuna ng'ombe mmoja yy kazi kusema niletee gwajimaaa
Niletee gwajimaaaaaa
Niletee gwajimaaaa....

Nadhani analenga mambo mawili...
1. Kuendeleza ajenga ya kuratibu ukabila
2. Kusuguliwa km anavyopenda kusuguliwa
Sasaaaaa....Sasaaaaa...nisikilizeni basi.
Saaasaaa..Saaaasa..😂.
 
Asilimia 70% ya kura za Urais wa Jamhuri ya Muungano zinakwenda kwa Tundu Lissu the greatest 68%ya viti vya Ubunge vinaenda Chadema
Kwa muktadha Huu Mzee Raisi Chato akasimamie Guest House yake.
Siku hizi unakunywa mapuya? Maana hali ngumu mpaka mnatabiri uozo tu.
 
Anza na Magufuli aliomba kusuguliwa na Sugu.
Kwani maana ya kusugua ni nini? Mtu akisema nchi fulani na fulani zina msuguano,utamdhihaki? Acheni kuharibu lugha yetu kwa mawazo yenu potofu. Kwa nini mnaruhusu shetani atawale fikra zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…