Tayari nishateketeza kibaraka wa mabeberu.

Turnout Inaridhisha ila kwakweli vijana ni wachache mno,

Asilimia kubwa ni watu wazima na wa umri wa kati.
Mapema hivi wewe tayari ushahitimisha hivi? Watu hata kifungua kinywa bado!
 
Kata ya Mzingani, Tanga Mjini mawakala wote wa Chadema na ACT wameshindwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa kukosa barua za utambulisho, Mkuu wa kituo anasema kuwa barua za utambulisho ziko kwa Mkurugenzi.
 
Kwenye kituo cha NEDCO Masaki wasimamizi wa uchaguzi wanasema mawakala hawatambuliki bila barua ya utambulisho

Mawakala wa CHADEMA wako hapa wameelezea kwamba waliambiwa utambulisho utatumwa moja kwa moja na NEC na hawakupewa barua. Msimamizi anasema hayo ndio maelezo waliyopewa
 
Kata ya Mzingani, Tanga Mjini mawakala wote wa Chadema na ACT wameshindwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa kukosa barua za utambulisho, Mkuu wa kituo anasema kuwa barua za utambulisho ziko kwa Mkurugenzi.

Wazembe pamoja na viongozi wao. Hawajui barua zinatolewa mara baada ya kuapa? Ondoa uongo
 
Wa vyama vingine wanao utambulisho?, Kama ndiyo, wamepewa na nani?
 
Vijana tukambinubinue dikteta Magufuli juu chini Kisha tumburuze na kumtupa mtaroni Kama gadafi.

Naelekea kumkandamiza huyu muhutu anayetishia ustawi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
 
Kata ya Mzingani, Tanga Mjini mawakala wote wa Chadema na ACT wameshindwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa kukosa barua za utambulisho, Mkuu wa kituo anasema kuwa barua za utambulisho ziko kwa Mkurugenzi.
Na wewe unakubali vipi kupiga kura bila wakala wako kuwepo?
 
Na hayo yalikuwa ni maelezo ya NEC kwamba hawapo barua ya kitambulisho lkn watakuta majina yao kituoni. Sasa mbona wamebadilikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…