KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mapema hivi wewe tayari ushahitimisha hivi? Watu hata kifungua kinywa bado!Tayari nishateketeza kibaraka wa mabeberu.
Turnout Inaridhisha ila kwakweli vijana ni wachache mno,
Asilimia kubwa ni watu wazima na wa umri wa kati.