mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Vijana tukambinubinue dikteta Magufuli juu chini Kisha tumburuze na kumtupa mtaroni Kama gadafi.
Naelekea kumkandamiza huyu muhutu anayetishia ustawi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
Wakuu,
Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.
Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)
1. Chama cha Mapinduzi
Dkt. John Pombe Magufuli - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Samia Suluhu Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
2. ADA TADEA
Bw. John Paul Shibuda - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Hassan Kornely Kijogoo - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
3. SAU
Bw. Muttamwega Bhatt Mgaywa - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Satia Mussa Bebwa - Mgombea kiti cha Makamu wa Rais
4. NRA
Bw. Leopord Lucas Mahona - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Ali Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
5. Demokrasia Makini
Bi. Cecilia Augustino Mwanga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Tabu Mussa Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
6. NCCR Mageuzi
Bw. Yeremia Kulwa Maganja - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Haji Ambar - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
7. CUF
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Hamida Huweishil Abdalla - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
8. ACT Wazalendo
Bw. Bernard Kamillius Membe - Mgombea Kiti cha Rais
Prof. Omar Fakih Hamad - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
9. UPDP
Bw. Twalib Ibrahim Kadege - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Ramadhan Ali Abdallah - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
10. ADC
Bi. Queen Cuthbert Sendiga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Juma Shoka - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
11. DP
Bw. Philipo John Fumbo - Mgombea kiti cha Rais
Bi. Zaina Juma Khamis - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
12. CHAUMMA
Bw. Hashim Spunda Rungwe - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Mohammed Massoud Rashid - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
13. AAFP
Bw. Seif Maalim Seif - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Rashid Ligania Rai - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
14. UMD
Bw. Khalfan Mohammed Mazrui - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Mashavu Alawi Haji - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
15. CHADEMA
Bw. Tundu Antiphas Lissu - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Salum Mwalimu Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
Hakuna msimamizi anayeruhusiwa kuwa na simu wacha uongo.Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
Daaaaaah Kweli watanzania tunamizaha sana, yaani issue ya masanduku ya kura fake unafurahi na kufurahi. Serious?Kuna masanduku ya kura feki yalikamatwa kibaha..[emoji16][emoji16].
VYOMBO VYA ULINZI vinaruhusiwa kupiga kura lakini haviruhusiwi kuwa na VYAMA.
Vilikamatwa na nani? Kama vilikamatwa na jeshi la wananchi au wakala Ni Jambo zuri na la kutoa moyo.Kuna masanduku ya kura feki yalikamatwa kibaha..[emoji16][emoji16].
VYOMBO VYA ULINZI vinaruhusiwa kupiga kura lakini haviruhusiwi kuwa na VYAMA.
Na kura zinaendelea kupigwa ndani bila mawakala wa CHADEMA kuwepo!Kwenye kituo cha NEDCO Masaki wasimamizi wa uchaguzi wanasema mawakala hawatambuliki bila barua ya utambulisho
Mawakala wa CHADEMA wako hapa wameelezea kwamba waliambiwa utambulisho utatumwa moja kwa moja na NEC na hawakupewa barua. Msimamizi anasema hayo ndio maelezo waliyopewa
Daaaaaah Kweli watanzania tunamizaha sana, yaani issue ya masanduku ya kura fake unafurahi na kufurahi. Serious?
WaTanzania leo hawaukaribishi "udikteta" tu bali WANAUKUBALI na kuuimarisha zaidi. Haya ndio maajabu ya watu wa nchi yetu hii.
Hao wasimmamizi wa uchaguzi kama kuna uwezekano ni kupigwa picha for further references.Nimepiga KURA kituo cha Serikali za Mitaa Mwanamtoti (Kijchi - Mbagara - Dam) saa moja na busy hakuna MAWAKALA.
Wapo PEMBENI kwa sababu HAWANA BARUA ZA KUWATAMBULUSHA
Msimamizi wa Kituo namba moja amemtoa Dada mmoja aluyesema yeye ni WAKALA wa ACT - WAZALENDO kwa sababu Hana barua ya UTAMBULISHO na kwamba yeye (Msimamizi Kituo namba moja (1) HANA TAARIFA ZA HUYO WAKALA. (Dada mmoja MNENE AMEVAA SURUALI NA T - SHIRT)
Daaaah ko la kufurahia hilo jambo au sio?Sasa unataka tulie?
Haituhusu hii ,tunapiga kura za hasira kumfurumusha kibaraka na msaliti.
zenji janaHii lini tena, sasa anatumbukiza na bahasha kabsa
Sijakuelewa.... ni methali, tumeifundishwa darasa la kwanza miaka ya 1960! ulikuwa hujazaliwa , labda na wazazi wako walikuwa bado! kuwa majuto ni mjukuu...... tafuta maana yakeTanzania ni nchi ya maajabu mengi, ikiwemo mlima mrefu sana na mbuga za wanyama wa kila aina; sasa tutaongeza ajabu jingine la watu wasiokuwa na majuto juu ya lolote.
Unaandika "majuto kuwa mjukuu"? Heri kama wasingekuwa wanajua litakalowatokea. Hawa majuto yote wanayajua na bado hawasikii chochote!
Duh huyo ni muhujumu uchaguziKuna mgombea mmoja wa urais HANA KITAMBULISHO CHA KURA HIVYO KAKATALIWA ni wa chama cha UPDP bwana Kadege