Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Kuna masanduku ya kura feki yalikamatwa kibaha..[emoji16][emoji16].
VYOMBO VYA ULINZI vinaruhusiwa kupiga kura lakini haviruhusiwi kuwa na VYAMA.
Vijana tukambinubinue dikteta Magufuli juu chini Kisha tumburuze na kumtupa mtaroni Kama gadafi.

Naelekea kumkandamiza huyu muhutu anayetishia ustawi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
 
Wakuu,

Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.

Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)

1. Chama cha Mapinduzi
Dkt. John Pombe Magufuli - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Samia Suluhu Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

2. ADA TADEA
Bw. John Paul Shibuda - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Hassan Kornely Kijogoo - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

3. SAU
Bw. Muttamwega Bhatt Mgaywa - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Satia Mussa Bebwa - Mgombea kiti cha Makamu wa Rais

4. NRA
Bw. Leopord Lucas Mahona - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Ali Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

5. Demokrasia Makini
Bi. Cecilia Augustino Mwanga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Tabu Mussa Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

6. NCCR Mageuzi
Bw. Yeremia Kulwa Maganja - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Haji Ambar - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

7. CUF
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Hamida Huweishil Abdalla - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

8. ACT Wazalendo
Bw. Bernard Kamillius Membe - Mgombea Kiti cha Rais
Prof. Omar Fakih Hamad - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

9. UPDP
Bw. Twalib Ibrahim Kadege - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Ramadhan Ali Abdallah - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

10. ADC
Bi. Queen Cuthbert Sendiga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Juma Shoka - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

11. DP
Bw. Philipo John Fumbo - Mgombea kiti cha Rais
Bi. Zaina Juma Khamis - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

12. CHAUMMA
Bw. Hashim Spunda Rungwe - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Mohammed Massoud Rashid - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

13. AAFP
Bw. Seif Maalim Seif - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Rashid Ligania Rai - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

14. UMD
Bw. Khalfan Mohammed Mazrui - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Mashavu Alawi Haji - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais

15. CHADEMA
Bw. Tundu Antiphas Lissu - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Salum Mwalimu Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais


Nimepiga KURA kituo cha Serikali za Mitaa Mwanamtoti (Kijchi - Mbagara - Dam) saa moja na busy hakuna MAWAKALA.

Wapo PEMBENI kwa sababu HAWANA BARUA ZA KUWATAMBULUSHA

Msimamizi wa Kituo namba moja amemtoa Dada mmoja aluyesema yeye ni WAKALA wa ACT - WAZALENDO kwa sababu Hana barua ya UTAMBULISHO na kwamba yeye (Msimamizi Kituo namba moja (1) HANA TAARIFA ZA HUYO WAKALA. (Dada mmoja MNENE AMEVAA SURUALI NA T - SHIRT)
 
Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
Hakuna msimamizi anayeruhusiwa kuwa na simu wacha uongo.
 
Upigaji kura TABATA SHULE YA MSINGI; KITUO A 2 wananchi wanasubiri kupiga kura kwa kuwa makasha ya kutumbukizia kura hayana 'seals'.
KITUO A 4, BOXES NO. 527159, upigaji unaendelea bila makasha hayo kuwa na 'seals'.

MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
 
Kuna masanduku ya kura feki yalikamatwa kibaha..[emoji16][emoji16].
VYOMBO VYA ULINZI vinaruhusiwa kupiga kura lakini haviruhusiwi kuwa na VYAMA.
Daaaaaah Kweli watanzania tunamizaha sana, yaani issue ya masanduku ya kura fake unafurahi na kufurahi. Serious?
 
Kuna masanduku ya kura feki yalikamatwa kibaha..[emoji16][emoji16].
VYOMBO VYA ULINZI vinaruhusiwa kupiga kura lakini haviruhusiwi kuwa na VYAMA.
Vilikamatwa na nani? Kama vilikamatwa na jeshi la wananchi au wakala Ni Jambo zuri na la kutoa moyo.

Nje ya hapo itakuwa kazi bite mkuu
 
Kuna mgombea mmoja wa urais HANA KITAMBULISHO CHA KURA HIVYO KAKATALIWA ni wa chama cha UPDP bwana Kadege
 
20201028_081508.jpg

Sitaki ujinga kabisa
 
Twendeni kupiga kura jamani tuchague viongozi tuna wataka, hamasisha na mwenzio, kura ndio zinaamua, tuache kulalamika.
 
Kwenye kituo cha NEDCO Masaki wasimamizi wa uchaguzi wanasema mawakala hawatambuliki bila barua ya utambulisho

Mawakala wa CHADEMA wako hapa wameelezea kwamba waliambiwa utambulisho utatumwa moja kwa moja na NEC na hawakupewa barua. Msimamizi anasema hayo ndio maelezo waliyopewa
Na kura zinaendelea kupigwa ndani bila mawakala wa CHADEMA kuwepo!

Bandiko kama hili linasomwa na kuonekana ni jambo la kawaida sana, na siku inaendelea na watu wanasubiri matokeo ya uchaguzi batili huu!
 
Nimepiga KURA kituo cha Serikali za Mitaa Mwanamtoti (Kijchi - Mbagara - Dam) saa moja na busy hakuna MAWAKALA.

Wapo PEMBENI kwa sababu HAWANA BARUA ZA KUWATAMBULUSHA

Msimamizi wa Kituo namba moja amemtoa Dada mmoja aluyesema yeye ni WAKALA wa ACT - WAZALENDO kwa sababu Hana barua ya UTAMBULISHO na kwamba yeye (Msimamizi Kituo namba moja (1) HANA TAARIFA ZA HUYO WAKALA. (Dada mmoja MNENE AMEVAA SURUALI NA T - SHIRT)
Hao wasimmamizi wa uchaguzi kama kuna uwezekano ni kupigwa picha for further references.

Huo ni upumbavu!
 
Wananchi wa Mabibo jijini Dar es Salaam waliojitokeza katika kituo cha NIT wamelazimika kusubiri baada ya kuchelewa kuanza kwa zoezi la upigaji kura kutokana na kuchelewa kwa zoezi la ugawaji vifaa kwa wasimamizi wa vituo vingine.
 
Tanzania ni nchi ya maajabu mengi, ikiwemo mlima mrefu sana na mbuga za wanyama wa kila aina; sasa tutaongeza ajabu jingine la watu wasiokuwa na majuto juu ya lolote.

Unaandika "majuto kuwa mjukuu"? Heri kama wasingekuwa wanajua litakalowatokea. Hawa majuto yote wanayajua na bado hawasikii chochote!
Sijakuelewa.... ni methali, tumeifundishwa darasa la kwanza miaka ya 1960! ulikuwa hujazaliwa , labda na wazazi wako walikuwa bado! kuwa majuto ni mjukuu...... tafuta maana yake
 
Back
Top Bottom