Hao wazee wanaghadhabu sana.Huku nilikopigia Kura, nimepanga foleni na wazee miaka 45 na kwendelea
Sifahamu Kwa nini vijana mpaka muda huu hawaonekani vituoni
Wanaenda kukichinja chama tawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wazee wanaghadhabu sana.Huku nilikopigia Kura, nimepanga foleni na wazee miaka 45 na kwendelea
Sifahamu Kwa nini vijana mpaka muda huu hawaonekani vituoni
Vituo vya kupigia kura kata ya Nyasura & Bunda Mjini wasimamizi wa vituo wamegoma kutoa fomu za matokeo kwa mgombea ubunge (Chadema) jimbo la Bunda Mjini kuzikagua. Taarifa zilizopo zinaeleza kwamba hizo fomu za matokeo tayari zimejazwa. Nchi imeharibika sana.
Tindo nenda kapige kura!
Lisu hata angekuwa w kwanza haingesaidia kitu.
haituhusu kura yako haina maana.Imeisha hiyo nimeshamchagua Jembe na Mbunge na Diwani wake
Tulia this is tanzania.Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Luna Kura za Mtandaoni Unaweza kupiga izooWakuu nina shida
1.sikumbuki kituo cha kupigia kura
2.Kitambulisho kimepotea
3.Namba ya kitambulisho siikumbuki
Na ninataka kupiga kura
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama umemkata utakuwa umeharibù kura au unamaanisha umeweka tiki kea Lissu tu?Nimemlima magu shoka moja la kichwa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wamecheka.
Vijana wote tunakwenda na TAL mpaka 2030, Chama cha Mapinduzi ni mafedhuli wauaji na wazima mitandao hawawezi kushinda watashinda kwa kufanya udhalimu na kuiba kura, ila tumejipangaVijana wote tunakwenda na JPM mpaka 2025. Chama cha Mbowe hovyo, hakiwezi shinda hata nusu ya kura za lowasa.
Fikiria wanaogopa adi kupanga majina itakuaje kutoa matokeo iliyo sahihi?Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...