Aisee...
 
Mie tayari hapa nishamzamisha magu. Hafai abhadan.
 
Vigezo vya kwenda white house haviwez kuwa sawa na vigeza vya kuingia magogoni, niseme tu..havituhusu na kwa maana hyo, aliyepo ataendelea kuongoza kwa miaka 5 na chama kilichopo kitaendelea kuwepo mpaka pale watanzania watakapoamua kwa moyo mmoja kukiondoa kwa mabavu.

Na niseme tu kuwa tuko watz m.55, tukiamua watz m.20 tu kukitoa chama madarakani kwa uhai wetu inawezekana, watakaobakia watakuwa na Tanzania bora na itakayokuwa na mafanikio makubwa sana! Hizi ni ndoto ambazo haziwez timia hata siku moja.

Niwatakie uchaguzi mwema, kamchague Magufuli wala usihangaike kupepesa macho yako mpaka karatasi ikushangae.
 
Hii ndio kawaida mkuu. Zanzibar ndio ovyo kabisa Tume inapendelea chama kimoja waziwazi bila kificho. Ndio maana wengine hupatwa na hasira wakaona kiwalo na liwe
 
Vituo vingi huwa wenye mahitaji maalum wanapewa vipaumbele, nilichokishuhudia leo hilo lemefanyika na wakati wa kusubiri waliwawekea viti kabisa.

Huo ndio utaratibu.

Sasa hapo msimamizi ineonekana yuko slow kidogo.

Swala la msingi ni kupiga kura

Zoezi limeshamalizika, tusubiri matokeo kwa amani.
 
Mkuu, tafadhali sana ungeweka jina la mahali au kituo, ili tuendelee kuweka rekodi na kuzipeleka mahali husika, huu udhalimu umefika mwisho

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Nimemlima magu shoka moja la kichwa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wamecheka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama umemkata utakuwa umeharibù kura au unamaanisha umeweka tiki kea Lissu tu?
 
Vijana wote tunakwenda na JPM mpaka 2025. Chama cha Mbowe hovyo, hakiwezi shinda hata nusu ya kura za lowasa.
Vijana wote tunakwenda na TAL mpaka 2030, Chama cha Mapinduzi ni mafedhuli wauaji na wazima mitandao hawawezi kushinda watashinda kwa kufanya udhalimu na kuiba kura, ila tumejipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…