Haya ameshinda. Mpelekeni ikulu
 
Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
Unaonaje wakati kura ni siri ?
 
Pengine umeshawahi kusikia jina la Profesa Allan Lichtman wa Marekani ambaye ana rekodi ya miaka 30 ya kutabiri kwa usahihi kabisa matokeo ya urais katika nchi hiyo....
Umejipinda ila upupu mtupu. Jaribu kupanga muda wako kuzalisha mali
 
Je, muamko wa vijana kujitokeza kupiga kura katika eneo ulipo upoje.

Nimefarijika kuona idadi kubwa ya vijana wamejitokeza kupiga kura, kura ya mabadiliko, kura ya kuamua hatima ya maisha yao ya baadae na vizazi vinavyokuja.

Ewe mama, ewe baba, ewe dada, ewe kijana hakikisha unaenda kupiga kura.

Aluta continua!
 
Pengine umeshawahi kusikia jina la Profesa Allan Lichtman wa Marekani ambaye ana rekodi ya miaka 30 ya kutabiri kwa usahihi kabisa matokeo ya urais katika nchi hiyo...
Ndio maana ni muhimu kwa Lissu, Chadema, Watanzania wanaoitakia mema nchi yetu na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha kuwa pindi Magufuli na wahuni wake wa Idara ya Usalama wa Taifa wakifanya tena wizi wa kura, KUSIWE NA KULALA MPAKA KIELEWEKE. Kwa sababu kama si hivyo, hawa majahili wataruhusiwa kuendelea kuiba kura hadi lini?
 
Na sjasema kuwa hao wazee ni wapiga Kura wa mtu Fulani, hayo ya Mzee wako/wetu kuwa ni damu ya Chadema yanatoka wapi mkuu!!

Nilichokishangaa kingine ni vijana ambao nimekutana nao wakiendelea tu na shughuri zao,nimejaribu kuwahimiza waende kupiga Kura, cha ajabu wanasema, eti wao ni washabiki tu, wapiga Kura ni kina mama na wazee!!

Kitendo hiki kimenifikirisha Sana aisee, Tanzania inavijana wa hovyo sana
 
Hata mimi sikuliona jina langu katika orodha ya majina Yaliyobandikwa kituoni ila Kwakuwa nilikuwa nimeshajihakiki kupitia *152*00# ikawa imenipa urahisi kwani majibu nilipewa kwa wakati na namba pia ya kituo Nilipopangiwa nikawa najua, kazi Ikawa ni kupanga tu foleni kwenye kituo changu mambo yakawa poa. Nashauri mwambie atumie hizo code ajihakiki mwenyewe ili awe na hakika kuliko kutegemea karatasi za kituoni maana muda bado😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…