Maneno kama haya ndio yanayo leta vita kwani huwezi kupiga kura bila kutukana mtu?
Hili ndio tatizo la JF na Mods wake. Vitu kama hivi ni vyakutoa kwenye mitandao...
Mara ngapi mmemuita Lissu shoga? Acha unafiki.
 
Message:

Jimbo la Masasi 60% ya Mawakala ACT na CHADEMA wamezuiwa kiingia vituoni.
 
Tena kama bodaboda wanamchinja Lissu mapemaaa.. Maana wanampenda sana JPM kawapa uhuru wa kupiga hela hadi katikati ya miji
 
Daah'!!
Sasa mkuu, watu wanakata tamaa kabla hata ya kupiga Kura kweli??

Huku ni kutokujitendea haki aisee

Mkuu kuna kukata tamaa na kupuuza jambo kwa kukosa imani. Usichanganye haya mambo.
 
Wahi kituoni ukapige kura.

Mkuu una shaka na mimi kwenye upigaji kura? Kura yangu ni kwa Chadema kwa ngazi zote. Nimepita kwenye kituo changu watu ni wachache mno. Ndani ya nusu sasa naingia kituoni kuendelea kumkataa Magufuli na CCM kama kawaida yangu. Imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…