Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Tayari nimeshachinja
JPEG_20201028_113607_188124705604204453.jpg
 
Haya yanatoka wapi tena wakati tulisema mwaka huu hatutalia tena, watalia wao. Mwaka huu hatubiwi tena, wataibiwa wao.
Sasa wewe unaleta tena haya unakuwa unaturudisha nyuma
Watu wamepoteza imani na zoezi zima la uchaguzi kutokana na upikaji wa matokeo. Huo ndio ukweli, ni nadra watu wanaopenda ukweli kila mara kukutana na matokeo ya kupika. Sio kila mtu ni mvumilivu wa wizi.
 
Ndio maana mnaitwa vibaraka na lugha yetu mnaipiga teke ili wasome mlichoandika. Hovyo kabisa... Congrt Magu in advance [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa najua wewe ni chizi lakini sikujua kama ni chizi kiasi hiki,
Sasa wewe hapo mwisho umetumia lugha gani?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Update

Jimbo la Musoma Vijijini

Mawakala wetu tisa (9) Kata ya Etaro wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura kwa madai kuwa hawana kadi za chama.

Ifahamike kuwa kadi ya chama siyo takwa la kisheria.
 
-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
Asishangae barabarani akaingia peke yake.
 
Lissu amewaambia kama hakuna wakala wa chadema, hicho kituo kura zisipigwe, sasa nyie mnaanza kulialia

Update

Jimbo la Musoma Vijijini

Mawakala wetu tisa (9) Kata ya Etaro wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura kwa madai kuwa hawana kadi za chama.

Ifahamike kuwa kadi ya chama siyo takwa la kisheria.
 
Media nyingi zimepiga kambi kawe. DC kahojiwa mida hii anahoji:

'kwa nini mdee anatembea na mabaunsa wengi vile wakati mimi kama DC sina mabaunsa? Reporter kamwambia: 'labda wale nao wapiga kura si mabaunsa.'

Movie inaendelea!!
 
Msaidizi wako umempa
mikazi mingi mpaka kakosa muda wa kwenda kupiga kura??

Haaah haaaa!!mkuu huo ni udikteta
Hapana mkuu mimi siyo dikteta na siwapendi madikteta ndiyo maana simpendi Jiwe. Kaamka asubuhi na kusema leo hajisikii kwenda popote maana kasikia kutakuwa na fujo huko, nikasema sawa wewe kaa hapa hapa tu wala usijali

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.
Mbona mnarudia rudia sana huu ujumbe, Pompeo ameshaiona! Kupiga kura ndo kutamfanya kiongozi wako ashinde sio ku repost msg za uzushi kama hizi
 
Tayari nimesha mfyatua mtu, nipo home na popcorn naangalia picha linavyo kwenda.
IMG_20201028_114451.jpg
 
Mapema leo nimejihimu kwenda kutimiza haki yangu ya kikatiba ya kwenda kupiga kura yangu. Hakika nimefurahishwa na idadi kubwa ya watu waliojitokeza na utulivu mkubwa wa Wananchi.

Watu imeonyesha wazi kuwa kupiga kura ndiyo silaha tosha ya kupata kiongozi unayemtaka. Inaonyesha wazi kuwa Wananchi wanajua kuwa "Wenye uelewa wa kuelewa wasipojitokeza kupiga kura na kusema si wajibu wao basi wanaweza kuongozwa na mpumbavu".

Nimepata haki ya kupiga kura moja tu ya Mh Rais kwani Diwani na Mbunge wamepita bila kupingwa Baada ya washindani wao kuto kidhi vigezo vya kisheria.

#ActusReusMensRea
 
Back
Top Bottom