SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Watu wamepoteza imani na zoezi zima la uchaguzi kutokana na upikaji wa matokeo. Huo ndio ukweli, ni nadra watu wanaopenda ukweli kila mara kukutana na matokeo ya kupika. Sio kila mtu ni mvumilivu wa wizi.
Baadae msilalamike mmeibiwa kura lakiniAnachelewa wapi. Hii hata ikitabiriwa wakati wa kuhesabu kura bado iko valid
Ubarikiwe sana umechagua fungu lililo jemaNishafanya yangu. Msimamo wangu wengi mnaujua. Huku nilipo Hali ni shwari kabisa. Nategemea ushindi kwa diwani wangu na kwa lissu piaView attachment 1614500
Safi sana comrade.Tumeshamalizana naye huku Kawe Mbezi Beach hata wakala hana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana mnaitwa vibaraka na lugha yetu mnaipiga teke ili wasome mlichoandika. Hovyo kabisa... Congrt Magu in advance [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Amekodi charter Bila shakaReserved: Ajili ya PICHA na video mbalimbali
Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu akiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam tayari kuelekea Mkoani Singida kushikiri zoezi la upigaji kura.
Asishangae barabarani akaingia peke yake.-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
Acheni kutafuta sababu kabla hat kura hazijahesabiwa. Hii ya kuchafua jina la nchi yetu kwa sababu za kisiasa bila msingi wowote ni jambo la kukekemewa sana.Tumesha sign petition ya Ngurumo, Dunia ujue yanayoendelea Tanzania.
Update
Jimbo la Musoma Vijijini
Mawakala wetu tisa (9) Kata ya Etaro wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura kwa madai kuwa hawana kadi za chama.
Ifahamike kuwa kadi ya chama siyo takwa la kisheria.
Unapoteza kura yako kijana bora ukae nyumbani.Naenda kusawazisha hivi sasa kws kumkataa Magufuli na genge lake la ccm.
Hapana mkuu mimi siyo dikteta na siwapendi madikteta ndiyo maana simpendi Jiwe. Kaamka asubuhi na kusema leo hajisikii kwenda popote maana kasikia kutakuwa na fujo huko, nikasema sawa wewe kaa hapa hapa tu wala usijaliMsaidizi wako umempa
mikazi mingi mpaka kakosa muda wa kwenda kupiga kura??
Haaah haaaa!!mkuu huo ni udikteta
Mbona mnarudia rudia sana huu ujumbe, Pompeo ameshaiona! Kupiga kura ndo kutamfanya kiongozi wako ashinde sio ku repost msg za uzushi kama hiziKaandika hivi kupitia twitter:
Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.