We utakuwa mzee kijana @HpolepoleTunawaita Vilaza kwa sababu mojawapo kama hiyo Kuhisia kila mtu ni Lika lako
Mmejawa na Ujinga ulio pitiliza
Mtoto wangu Wapili tu hajazaliwa hiyo miaka ya 90
Hahaha Muwe mnaficha Upumbavu wenu walau kidogo
Mmejawa na Ukibendera sana Yaani Kujiona wajuaji kisa Eti unaishabikia Chadema hovyo kabisa
Alisikika Kilaza mmoja AkisemaWe utakuwa mzee kijana @Hpolepole
Kama sehemu zote wamewafukuza mawakala, unategemea nini?
Peleka hilo gazeti lako wakafungie maandazi
Aah weka matokeo unataka watu pressure ipande chamwino wapaone pachunguArusha Lema ameshampasua Gambo. Kachukua mpaka halmashauri
Hadi nyie mmefungiwa na baba yenu Meko?
Sasa what next? Wizi wa wazi wazi, nguvu ya umma kwa Tanzania siitegemei. Tunafanyaje?Mkuu kuna watu wanashangaza sana. Haihitaji kuwa na Phd kuona huu wizi wa kutisha wa mchana kweupe.
Ingia barabarani sasaUkweli ni mmoja, Chedema imeshinda lkn imenyimwa ushindi wake. Lisu kashinda amenyimwa ushindi wake.
Segerea mgombea wa chadema alikuwa anaomba michango ya kunywea bia tuMambo yaliyojitokeza huku segerea yanasikitisha, zile mashine za kutengenezea vitambulisho vya kura zilibakia ofisi za kata leo hii zimetumika kusajili wanachama hewa ambao sio wakazi wa jimbo hili kisha ccm imefanyia njama kwa kuwapitisha kinyemela wawapigie kura
Kituo cha kaloleni shule CHADEMA wamekula za uso kuanzia udiwan,ubunge na urais.Aah weka matokeo unataka watu pressure ipande chamwino wapaone pachungu
Kituo cha kaloleni shule ,Chadema wamekula za uso kuanzia udiwan,ubunge na urais.
Sasa what next? Wizi wa wazi wazi, nguvu ya umma kwa Tanzania siitegemei. Tunafanyaje?
Sio rahisi hivyo labda sio ArushaKituo cha kaloleni shule ,Chadema wamekula za uso kuanzia udiwan,ubunge na urais.
Naomba mumuheshimu sana huyu dada, maana ni... naomba nisimalizie nikaonekana najidaiMimi na Queen Sendiga tu
Vilaza ni CCM wanaokataa uwanja huru wa uchaguzi, badala yake ni maigizo tu..pumbavu kabisaAlisikika Kilaza mmoja Akisema
Vilaza ni Ccm wanaokataa uwanja huru wa uchaguzi,badala yake ni maigizo tu..pumbavu kabisa