Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Tunawaita Vilaza kwa sababu mojawapo kama hiyo Kuhisia kila mtu ni Lika lako
Mmejawa na Ujinga ulio pitiliza
Mtoto wangu Wapili tu hajazaliwa hiyo miaka ya 90
Hahaha Muwe mnaficha Upumbavu wenu walau kidogo
Mmejawa na Ukibendera sana Yaani Kujiona wajuaji kisa Eti unaishabikia Chadema hovyo kabisa
We utakuwa mzee kijana @Hpolepole
 
Mkuu kuna watu wanashangaza sana. Haihitaji kuwa na Phd kuona huu wizi wa kutisha wa mchana kweupe.
Kama sehemu zote wamewafukuza mawakala, unategemea nini?
 
Mkuu kuna watu wanashangaza sana. Haihitaji kuwa na Phd kuona huu wizi wa kutisha wa mchana kweupe.
Sasa what next? Wizi wa wazi wazi, nguvu ya umma kwa Tanzania siitegemei. Tunafanyaje?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mambo yaliyojitokeza huku segerea yanasikitisha, zile mashine za kutengenezea vitambulisho vya kura zilibakia ofisi za kata leo hii zimetumika kusajili wanachama hewa ambao sio wakazi wa jimbo hili kisha ccm imefanyia njama kwa kuwapitisha kinyemela wawapigie kura
Segerea mgombea wa chadema alikuwa anaomba michango ya kunywea bia tu
 
IMO only economic sanction will do, to be isolated by Western countries and International Organisations until when true democracy is respected in our beloved country. Iweje Malawi wafanye chaguzi huru na za haki na upinzani kushinda ili sisi ishindikane?

Iweje Seychelles ifanye chaguzi huru na za haki na upinzani ushindi lakini sisi ishindikane? Tumeona jinsi Watanzania walivyoonyesha msimamo mkubwa wa kutaka mabadiliko ya uongozi nchini kwanini kikundi cha watu wachache wazuie mabadiliko hayo kwa kutumia mtutu, vitisho, kura fake na wizi?
Sasa what next? Wizi wa wazi wazi, nguvu ya umma kwa Tanzania siitegemei. Tunafanyaje?
 
Kwa yanayoendelea leo hata kulikua hakuna haja ya kufanya uchaguzi..Kamati ya roho mbaya naona ipo vizuri.
 
Washabiki wa Chadema tupieni bas matokeo, kipind cha kampeni mode walikuwa upande wenu kutupiga ban , ni mda w kutufurahisha sasa ...au mnasubir Rungu la ngosha
 
Back
Top Bottom