Ndugu yangu kipimo cha demokrasia si ushindi kwa vyama vya upinzani. Soma vizuri maana ya demokrasia. Soma pia tofauti iliyopo baina ya vyama vilivyoshinda Malawi na Seychelles na chama cha CHADEMA au ACT. Ukiona vyaelea ujue vimeundwa
 
Acha uongo basi mzee, kwani hukuona ratiba ya urejeshwaji wa fomu au ndo uzee unasahau haraka.
 
Uchaguzi huu bado ni mugumu sana, tume yenyewe mpaka sasa hawajiamin, subr kuanzia kesho makombola yatakayovurumishwa, hamtaamin, wengi humu nawasoma tunawaacha,muda unaongea! lissu anajua nini anakifanya, hata kipara mwenyewe huko aliko aamini kbsa nin kitatokea kuanzia kesho! tuombe uzima.
 
Danganya Vilaza
Kesho kesho
Hahaha
 
pua yuu 😂😂 mpaka nimekuhurumia
 
Nipo macho toka saa saba..Nimelala kwa masaa mawili tuu na kushtuka..Ikifika saa kumi na nusu natoka kuelekea kituoni. Tukapige kura na kuzilinda. Nitakuwa nawapatia updates moja mbili nikipata nafasi.
Mwisho kupokea watu saa 10:00 jioni wewe unaenda saa 10:30 jioni duu.
 
Eboo
 
Huu uchaguzi umeharibiwa kwa 100% haufai
Hapa ni kuomba tupigwe vikwazo ili wote nchi nzima tuimbe lugha moja
Wapinzani msiende mahakamani kwa sababu kwa mahakama hizi za sasa hata kama mna haki hamshindi
Uchaguzi urudiwe wote
 
Mitandao itakuwa inapatikana? Maana hii JF yenyewe lazima uisearch haiji moja Kwa moja.
Angalia speed ya internet yako. Usilaumu watoa internet, laumu bundle lako. Pia kumbuka wakati huu ambapo kila mtu anaingia kwenye intenernet, speed inapungua kwa wote, na wengine kwa sababu ya nguvu ya simu yako ndiyio kabosa huwezi kuibgia.
 
Huu uchaguzi umeharibiwa kwa 100% haufai
Hapa ni kuomba tupigwe vikwazo ili wote nchi nzima tuimbe lugha moja
Wapinzani msiende mahakamani kwa sababu kwa mahakama hizi za sasa hata kama mna haki hamshindi
Uchaguzi urudiwe wote
Kwa taarifa yako waangalizi kwa kuwa siyo wanafiki kama wewe watapongeza zoei, the zima. Afu sasa tutafanya sherehe nchi nzima kuonyesha ccm ni baba lao
 
LISSU ASIFU ZOEZI LA UPIGAJI KURA.

Mgombea Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu mchana kwenye Kituo cha Kijiji cha Mtewa Kilichopo kata ya Ntutu Wilayani Ikungi, Singida.

Tundu Lissu amesema "Nimetoka Dar es Salaam ili kuja kupiga kura mahali ambapo nilikuwa Mbunge kwa vipindi viwili, mahali ambapo nina marafiki wengi na hawa ni watu wangu kwahiyo nilitaka nije niwe pamoja na watu wangu kwenye zoezi hili muhimu katika nchi yetu. Zoezi limekwenda vizuri, nafikiri kwa jinsi nilivyoona utaratibu umekwenda vyema sana."
 
Kwa taarifa yako waangalizi kwa kuwa siyo wanafiki kama wewe watapongeza zoei, the zima. Afu sasa tutafanya sherehe nchi nzima kuonyesha ccm ni baba lao
Tukimaliza jamani:-Sherehe iwe sherehe kweli, Na Dunia itambue Tanzania kuna sherehe kila kona ya nchi, sherehe watu washeherekee kilakona.
Wafunge mpaka barabarani kwa kusheherekea.
CNN na @bbcswahili wajue Dkt @MagufuliJP ana watu na #CCM chama lao [emoji123].
#VibarakaTupaKulee. https://t.co/N4zQh58LUp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…