The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Vikwazo ndiyo stahili yetuAcha upumbavu wewe,kama wewe unakula bure na kulala bure basi wenzio wanafamilia zinawategemea.Unavijua vikwazo wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikwazo ndiyo stahili yetuAcha upumbavu wewe,kama wewe unakula bure na kulala bure basi wenzio wanafamilia zinawategemea.Unavijua vikwazo wewe?
Lazima watachakachuaHaiwezekani. Masanduku yalale CCM na polisi na JW na TISS tarehe 27 Okt 2020 yote halafu ACT-Wazalendo washinde. Haiwezekani!
😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Umefurahiiiii Mwenyewe Kujifurahishaaa dah Vijana MmeharibikiwaaDah muungano jamani. Zanzibar hiyooooo imeendaaa
Daah! Jamani, huu ni uchaguzi ama uchafuzi?-
Mgombea ubunge Chadema Jimbo la Muheza @yosepherfkomba ameng'atwa na msimamizi mkuu wa kituo baada ya kutaka kufahamu kilichopo ndani ya mkoba huo, alipokataa kumonyesha akataka kutoka nje na huo mkoba, Yosepher akamzuia ndipo alipomjeruhi kwa meno..
Kwa Magufuli, hakuna madhara.Madhara ya uchache wa wapiga kura ni yapi?.Natamani sana kujua tafadhali
Mkuu; bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuiondoa CCM haiwezekani. Chunguza mazingira na hali ya kisiasa huko Malawi na Seychelles ikoje. Katiba zao zikoje? Madaraka ya rais yana wigo gani? Tume zao za uchaguzi zimeundwaje? Mwamko wa jamii kuhusu demokrasia ukoje?IMO only economic sanction will do, to be isolated by Western countries and International Organisations until when true democracy is respected in our beloved country. Iweje Malawi wafanye chaguzi huru na za haki na upinzani kushinda ili sisi ishindikane?
Iweje Seychelles ifanye chaguzi huru na za haki na upinzani ushindi lakini sisi ishindikane? Tumeona jinsi Watanzania walivyoonyesha msimamo mkubwa wa kutaka mabadiliko ya uongozi nchini kwanini kikundi cha watu wachache wazuie mabadiliko hayo kwa kutumia mtutu, vitisho, kura fake na wizi?
Bora umewasaidi utawaongezea siku za kuishi lalamika sports clubMkuu; bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuiondoa CCM haiwezekani. Chunguza mazingira na hali ya kisiasa huko Malawi na Seychelles ikoje. Katiba zao zikoje? Madaraka ya rais yana wigo gani? Tume zao za uchaguzi ziko huru? Mwamko wa jamii kuhusu demokrasia ukoje?
Elekezeni nguvu zote katika kudai katiba mpya; na mambo mengine yote yatafuata. Siasa !!!
Acha uongo. Maeneo karibu yote mawakala wa CHADEMA walikuwepo. Ni maeneo machache ambako mawakala wa CHADEMA walishindwa kukidhi sifa au CHADEMA yenyewe haikuwapeleka. Kwa mfano katika jimbo la Geita mjini yenye vituo 630+, mawakala wa CHADEMA walikosekana kwenye vituo 9 tu. Lingine vyama vinaruhusiwa kuleta orodha ya reserved agents-yaani mawakala wa akiba incase wale wa mwanzo wanashindwa kufanyakazi yao kwa sababu yoyote ile. CHADEMA haikuleta mawakala wa akiba. Hivyo hoja ya uwakala ni hoja mfu kuitumia.Kitendo cha kuwafukuza mawakala ni ushahidi wa figisu za kupora ushindi
Hawana akili Hawa wapinzani, wanalalamika tume kipindi hakuna uchaguzi, ukifika uchaguzi wanasahau tume wanaanza kutamba kuishinda CCM.Mkuu; bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuiondoa CCM haiwezekani. Chunguza mazingira na hali ya kisiasa huko Malawi na Seychelles ikoje. Katiba zao zikoje? Madaraka ya rais yana wigo gani? Tume zao za uchaguzi zimeundwaje? Mwamko wa jamii kuhusu demokrasia ukoje?
Elekezeni nguvu zote katika kudai katiba mpya; na mambo mengine yote yatafuata. Na kama siyo kuogopa kupoteza ruzuku, kusingekuwa hata na haja ya kushiriki chaguzi hizi bila katiba mpya!
HahahahahahaHawana akili Hawa wapinzani, wanalalamika tume kipindi hakuna uchaguzi, ukifika uchaguzi wanasahau tume wanaanza kutamba kuishinda CCM.
Wa kumdai ni nani sasa?Elekezeni nguvu zote katika kudai katiba mpya
Wacha wanyooshwe nipo Jimbo la meatu -Simiyu walikokuwa wanadanyana eti Lissu alijaza mafuriko, Kuna kituo Magufuli na kura Zaidi ya 300 lisu ana kura 3 [emoji23][emoji23]Hahahahahaha
Huku Meatu mambo Ni [emoji106], Magufuli atashinda kwa kishindo.Kale kaaskofu feki na kale kashekhe feki sijui wataficha wapi sura zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawana akili Hawa wapinzani, wanalalamika tume kipindi hakuna uchaguzi, ukifika uchaguzi wanasahau tume wanaanza kutamba kuishinda CCM.
Broo kwa trend iliyopo, Bora hata Lowassa alileta ushindani, huyu Mbelgiji watu hawana habari naye.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado sana. 2025 Lissu atakuwa ame-mature kidogo, pengine kutulia kidogo kwa kuachana na matusi na utopolo wa akina Amsterdam. Pia atakuwa amepona vizuri majeraha yake kimwili na kisaikolojia. Na wakiwa wamefanikiwa kupata katiba mpya pengine anaweza kushinda akigombea tena. Kwa sasa waridhike tu na kula pesa ya ruzuku...
Naamini watapata wabunge wa kutosha safari hii pengine kuzidi hata wale wa Lowassa. Hii itawasaidia kupigania hiyo katiba...Wa kumdai ni nani sasa?
Hawakuweza wakiwa na wabunge, watawezaje bila wabunge?
Nafasi waliyoichezea kipindi cha JK wataikumbuka kwa siku za maisha yao...
Watasema mmeiba !!!Wacha wanyooshwe nipo Jimbo la meatu -Simiyu walikokuwa wanadanyana eti Lissu alijaza mafuriko, Kuna kituo Magufuli na kura Zaidi ya 300 lisu ana kura 3 [emoji23][emoji23]
Sehemu karibia zote Magufuli anaongoza.
Wanamtegemea Robert Amsterdam [emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania wanajitambuaWacha wanyooshwe nipo Jimbo la meatu -Simiyu walikokuwa wanadanyana eti Lissu alijaza mafuriko, Kuna kituo Magufuli na kura Zaidi ya 300 lisu ana kura 3 [emoji23][emoji23]
Sehemu karibia zote Magufuli anaongoza.
Wanamtegemea Robert Amsterdam [emoji23][emoji23][emoji23]