Kwa taarifa yako waangalizi kwa kuwa siyo wanafiki kama wewe watapongeza zoei, the zima. Afu sasa tutafanya sherehe nchi nzima kuonyesha ccm ni baba lao
Acha uzembe wewe
Waangalizi gani wapongeze hilo li uchaguzi
Au waangalizi wa Lumumba?
 
Subiri matter o time. Beberu mwenzenu Lissu ameunga mkono kuwa uko vizuri. Shida yenu nyinyi ni vichaa
-Lissu alisema uchaguzi ni mzuri kwa kile kituo alichopigia kura na hakusema eti ni uchaguzi mzuri nchi nzima yeye alikuwa 'specifically' kwa kituo alichopigia kura.
 
Kwahiyo wewe unaomba itokee vurugu au sio?
 
-Lissu alisema uchaguzi ni mzuri kwa kile kituo alichopigia kura na hakusema eti ni uchaguzi mzuri nchi nzima yeye alikuwa 'specifically' kwa kituo alichopigia kura.
It was the same throughout the country. Sema Kituo gani kulikuwa na shida. Acha ukichaa wa kufikiri vitu ambavyo havipo.
 
Huu uchaguzi umeharibiwa kwa 100% haufai
Hapa ni kuomba tupigwe vikwazo ili wote nchi nzima tuimbe lugha moja
Wapinzani msiende mahakamani kwa sababu kwa mahakama hizi za sasa hata kama mna haki hamshindi
Uchaguzi urudiwe wote

Kama wewe unakula bure na kulala bure basi wenzio wanafamilia zinawategemea.Unavijua vikwazo wewe?
 
Kura tulizozifuma zinaWatermark ya Tume ya uchaguzi
 
Acha uongo basi mzee, kwani hukuona ratiba ya urejeshwaji wa fomu au ndo uzee unasahau haraka.
Hakukuwa na ratiba ya kuchukua au kurudisha fomu; usijitungie mambo. Ilikuwa mtu akimaliza kupata wadhamini anarudisha fomu zake; kama wewe unayo ratiba basi iweke hapa badala ya kuzusha mambo yasikuwapo ili kupata umaarufu wa kisiasa tu
 
Acha uzushi! Hamad hafiki hata 20% mwaka huu nyingi zikitokea pema; zamani alikuwa neck to neck lakini siyo mwaka huu.
 
Uongo huu,

Kulikuwa na vyama viwili tu,

Ngazi ya uraisi?
 
Bukoba mjini, kata Kashai mabomu ya machozi yanarindima
 
Inatakiwa tupate vikwazo kama Zimbabwe ya enzi ya Mugabe. Hapo akili itakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…