Dah muungano jamani. Zanzibar hiyooooo imeendaaa
😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Umefurahiiiii Mwenyewe Kujifurahishaaa dah Vijana Mmeharibikiwaa
 
Daah! Jamani, huu ni uchaguzi ama uchafuzi?
 
Madhara ya uchache wa wapiga kura ni yapi?.Natamani sana kujua tafadhali
Kwa Magufuli, hakuna madhara.

Lkn kwa wapenda haki, Uhuru na Maendeleo , idadi kubwa ya wapiga kura inakupa legitimacy na legality ya kuongoza.
 
Mkuu; bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuiondoa CCM haiwezekani. Chunguza mazingira na hali ya kisiasa huko Malawi na Seychelles ikoje. Katiba zao zikoje? Madaraka ya rais yana wigo gani? Tume zao za uchaguzi zimeundwaje? Mwamko wa jamii kuhusu demokrasia ukoje?

Elekezeni nguvu zote katika kudai katiba mpya; na mambo mengine yote yatafuata. Na kama siyo kuogopa kupoteza ruzuku, kusingekuwa hata na haja ya kushiriki chaguzi hizi bila katiba mpya!
 
Bora umewasaidi utawaongezea siku za kuishi lalamika sports club
 
Kitendo cha kuwafukuza mawakala ni ushahidi wa figisu za kupora ushindi
Acha uongo. Maeneo karibu yote mawakala wa CHADEMA walikuwepo. Ni maeneo machache ambako mawakala wa CHADEMA walishindwa kukidhi sifa au CHADEMA yenyewe haikuwapeleka. Kwa mfano katika jimbo la Geita mjini yenye vituo 630+, mawakala wa CHADEMA walikosekana kwenye vituo 9 tu. Lingine vyama vinaruhusiwa kuleta orodha ya reserved agents-yaani mawakala wa akiba incase wale wa mwanzo wanashindwa kufanyakazi yao kwa sababu yoyote ile. CHADEMA haikuleta mawakala wa akiba. Hivyo hoja ya uwakala ni hoja mfu kuitumia.
 
Hawana akili Hawa wapinzani, wanalalamika tume kipindi hakuna uchaguzi, ukifika uchaguzi wanasahau tume wanaanza kutamba kuishinda CCM.
 
Hawana akili Hawa wapinzani, wanalalamika tume kipindi hakuna uchaguzi, ukifika uchaguzi wanasahau tume wanaanza kutamba kuishinda CCM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado sana. 2025 Lissu atakuwa ame-mature kidogo, pengine kutulia kidogo kwa kuachana na matusi na utopolo wa akina Amsterdam. Pia atakuwa amepona vizuri majeraha yake kimwili na kisaikolojia. Na wakiwa wamefanikiwa kupata katiba mpya pengine anaweza kushinda akigombea tena. Kwa sasa waridhike tu na kula pesa ya ruzuku...
 
Broo kwa trend iliyopo, Bora hata Lowassa alileta ushindani, huyu Mbelgiji watu hawana habari naye.

Aache harakati, afanye siasa, vitisho vya the Hague havitamsaidia chochote!
 
Wa kumdai ni nani sasa?
Hawakuweza wakiwa na wabunge, watawezaje bila wabunge?
Nafasi waliyoichezea kipindi cha JK wataikumbuka kwa siku za maisha yao...
Naamini watapata wabunge wa kutosha safari hii pengine kuzidi hata wale wa Lowassa. Hii itawasaidia kupigania hiyo katiba...

JK baba wa watu walimdhalilisha sana na kumuita kila aina ya majina mabaya wakati alikuwa anawakaribisha mpaka ikulu kwa mazungumzo na kunywa kahawa pamoja. Mwishoni naye naona maji yalimfika shingoni ndiyo maana alitia sahihi sheria ya makosa ya mtandao kabla hajaondoka.

#Lissu2025
 
Watasema mmeiba !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…