Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Katika awamu hii, waziri na RAIA wote wana haki sawa, anapaswa kupanga foleni, labda wapiga kura mumpe hiyo heshima ya kumpisha. Huo ndio ustaarabu wa watanzania chini ya utawala wa JPM. Kumbuka Mama yule aliyemfokea traffic barabarani jinsi alivyotaka kugharimu uwaziri wa mmewe.
Masikini huwa mnaridhishwa na vitu vidogo sana, kutokana na umasikini wako basi ukipanga foleni na tajiri unadhani mpo sawa. Mwenzio kachoka kukaa kwenye V8 anafanya mazoezi
 
Mkuu; bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuiondoa CCM haiwezekani. Chunguza mazingira na hali ya kisiasa huko Malawi na Seychelles ikoje. Katiba zao zikoje? Madaraka ya rais yana wigo gani? Tume zao za uchaguzi zimeundwaje? Mwamko wa jamii kuhusu demokrasia ukoje?

Elekezeni nguvu zote katika kudai katiba mpya; na mambo mengine yote yatafuata. Na kama siyo kuogopa kupoteza ruzuku, kusingekuwa hata na haja ya kushiriki chaguzi hizi bila katiba mpya!
Viongozi wa vyama vya Upinzani huwa hawawezi kuelekeza nguvu kwenye katiba mpya na tume huru kwa sababu Kuna wachache huwa wanachaguliwa na kunogewa na posho.Ili wapinzani waweze kudai tume huru na katiba mpya inabidi wakose kabisa ruzuku,pia wakose kabisa mbunge hata mmoja.
Unajiuliza mwaka Jana uchaguzi wa serikali za mitaa walijitoa Kwanini uchaguzi mkuu hawajajitoa? Wakati Mazingira ya figisufigisu Ni yaleyale?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walichofanikiwa kwa miaka yote 5 ni kujadili kingereza cha Magu tu basi
 
stupid babaako na mamaako walio kuzaa na kukuza ukaon kila mtu ni stupid kama wewe... babaako kapiga kura kituo gani..na ni nan aliekwambia kila asie piga kura alilala.. npo dar kituo kipo kilimanjaro babaako angenipa nauli..acha ungese kua na akili kama umesoma ulifaulu kwa chabo kwa jins nnavoona akil yako ilvokua fupi kama meco full wako wa ZZM
Kumbe tatizo lako ni umaskini umekosa nauli? Hahaha alafu unaishia kunitukania wazazi? kama huna nauli ni wazi kabisa nani kapigwa na maisha, njoo nikupe ajira upate hata hela ya kula acha ushenzi, pumbavu, ila kama umempa kura jiwe ajira hupati, sipendi washenzi mimi.
 
Hayo ndio maombi yangu na inshallah yatatimia kwa mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom