Ndio lazima nifurahie What is point ya kuwa na wabunge wa Upinzani na hawafanyi kitu.Afu unafurahia.... sisi CCM wenyewe tumeona ngoma sio fair. yaani kuwa na wabunge 100%kutoka bara unafurahia kweli. kweli tunatofautiana akili
Masikini huwa mnaridhishwa na vitu vidogo sana, kutokana na umasikini wako basi ukipanga foleni na tajiri unadhani mpo sawa. Mwenzio kachoka kukaa kwenye V8 anafanya mazoeziKatika awamu hii, waziri na RAIA wote wana haki sawa, anapaswa kupanga foleni, labda wapiga kura mumpe hiyo heshima ya kumpisha. Huo ndio ustaarabu wa watanzania chini ya utawala wa JPM. Kumbuka Mama yule aliyemfokea traffic barabarani jinsi alivyotaka kugharimu uwaziri wa mmewe.
Viongozi wa vyama vya Upinzani huwa hawawezi kuelekeza nguvu kwenye katiba mpya na tume huru kwa sababu Kuna wachache huwa wanachaguliwa na kunogewa na posho.Ili wapinzani waweze kudai tume huru na katiba mpya inabidi wakose kabisa ruzuku,pia wakose kabisa mbunge hata mmoja.Mkuu; bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuiondoa CCM haiwezekani. Chunguza mazingira na hali ya kisiasa huko Malawi na Seychelles ikoje. Katiba zao zikoje? Madaraka ya rais yana wigo gani? Tume zao za uchaguzi zimeundwaje? Mwamko wa jamii kuhusu demokrasia ukoje?
Elekezeni nguvu zote katika kudai katiba mpya; na mambo mengine yote yatafuata. Na kama siyo kuogopa kupoteza ruzuku, kusingekuwa hata na haja ya kushiriki chaguzi hizi bila katiba mpya!
Mawee...Arusha mjini ngazi ya udiwani
Kata 25
24 CCM
1 CDM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walichofanikiwa kwa miaka yote 5 ni kujadili kingereza cha Magu tu basiViongozi wa vyama vya Upinzani huwa hawawezi kuelekeza nguvu kwenye katiba mpya na tume huru kwa sababu Kuna wachache huwa wanachaguliwa na kunogewa na posho.Ili wapinzani waweze kudai tume huru na katiba mpya inabidi wakose kabisa ruzuku,pia wakose kabisa mbunge hata mmoja.
Unajiuliza mwaka Jana uchaguzi wa serikali za mitaa walijitoa Kwanini uchaguzi mkuu hawajajitoa? Wakati Mazingira ya figisufigisu Ni yaleyale?
Kwanini Mkuu.NAMSIKITIKIA BULAYA.
Inavyoelekea bulaya kutoboa itakuwa muujiza.Kwanini Mkuu.
Mlisema mnaingia barabarani. Vipi?Inasikitisha sana, jitu linaposhangilia ushindi hewa.
OkNaelekea kituoni .kura yangu ni ya mapema sana.
Ndiyo kwanza natoka hapa Oysterbay polisi, jamani jela si mahala pazuri.Huko wapi nije nikutoe
Kumbe tatizo lako ni umaskini umekosa nauli? Hahaha alafu unaishia kunitukania wazazi? kama huna nauli ni wazi kabisa nani kapigwa na maisha, njoo nikupe ajira upate hata hela ya kula acha ushenzi, pumbavu, ila kama umempa kura jiwe ajira hupati, sipendi washenzi mimi.stupid babaako na mamaako walio kuzaa na kukuza ukaon kila mtu ni stupid kama wewe... babaako kapiga kura kituo gani..na ni nan aliekwambia kila asie piga kura alilala.. npo dar kituo kipo kilimanjaro babaako angenipa nauli..acha ungese kua na akili kama umesoma ulifaulu kwa chabo kwa jins nnavoona akil yako ilvokua fupi kama meco full wako wa ZZM
Uingie barabarani ili iweje? Akishatangazwa mshindi mnaenda naye tu maisha baada ya uchaguzi hayana chama.Mlisema mnaingia barabarani. Vipi?
Mmebadili gia angani tena?Uingie barabarani ili iweje? Akishatangazwa mshindi mnaenda naye tu maisha baada ya uchaguzi hayana chama.
Kama hawana namna sasa ndo basi.Bashiru alisema Shuka kwa Shuka kitanda kwa kitanda mkamuona mjinga haya sasa.
CCM Ubunge Tanzania Bara imeongoza karibu majimbo Yote.
CDM wasipobadilika 2020 ndio mwisho wao acheni ujuaji