Anajisumbua huyu. Uchaguzi umeisha sasa ajiandae tu kumaliza kesi zake mahakamani.Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia Chadema amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki yao.
Amezitaka jumuia za kimataifa AU, UN, Commonwealth, EU, nchi za Marekani na Ulaya, marafiki, nchi jirani na watu mbalimbali kutoyatambua matokeo hayo.
Amezitaka jumuia za kimataifa kuwachukulia hatua wote waliohusika na kuvurugika kwa uchaguzi wakiwemo viongozi wa NEC, viongozi wa vyombo vya dola wao binafsi na taasisi zao.
Unataka wakapambane na vijana wa Sirro wakati hawana bunduki?Keyboard warior katika ubora wako
M4CAkubali tu then maisha yaendelee,,, mabadiliko hii nchi yatafanyika pale 90% ya watanzania watapopatwa na misukosuko
Zile nyodo zake zote za kipindi kile kumbe mweupe tu .............hao mashoga wake wameshamuacha solemba atulie Kisutu inamuita kwasasaAkiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia CHADEMA amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki yao.
Amezitaka jumuia za kimataifa AU, UN, Commonwealth, EU, nchi za Marekani na Ulaya, marafiki, nchi jirani na watu mbalimbali kutoyatambua matokeo hayo.
Amezitaka jumuia za kimataifa kuwachukulia hatua wote waliohusika na kuvurugika kwa uchaguzi wakiwemo viongozi wa NEC, viongozi wa vyombo vya dola wao binafsi na taasisi zao.
Ilikuwa leo 29/10Hivi anahitajika kisutu Lini tena??
Acha hizo. Amani ni tunuLiamshwe dude tu ili pachimbike na pasitoshe. Hawa ccm wanaleta mchezo
Pole pole TL anaanza kuelewa unafiki wa Watanzania. Japo anadai kulikuwa na turn out kubwa lakini moyoni anajua watu wengi hawakupiga kura na anajua Watu hawataingia barabarani.