Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Naomba ni view profile yako ili niweze kuku ignoreNyomi si kura. Si rahisi kupata urais kwa huruma ya wananchi.
Anza wewe familia yako kwanza then wengine wafuateLiamshwe dude tu ili pachimbike na pasitoshe. Hawa ccm wanaleta mchezo
Ukiwaambia watu wa CHADEMA humu wanakutukana, mnabidi uwaache na Chama chao.Binafsi nadhani Chadema ni Slaa alikuwa anajua organization na strategy kuliko waswahili waliobaki.
Leo ni sikukuu hivyo atapaswa kwenda kesho mahakamani.Ilikuwa leo 29/10
Naomba ni view profile yako ili niweze kuku ignore
Sijui kama hatokamatwa maana hawa watu aibu hawana kabisa.
Unaweza?Liamshwe dude tu ili pachimbike na pasitoshe. Hawa ccm wanaleta mchezo
Kwa hiyo mnataka kupindua serikali halali iliyochaguliwa na wananchi?Chedema toeni tamko wananchi tuko nanyi watuuwe tu