Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Mimi toka asubuhi nashindilia glucose ili niwe na energy pindi amri ya mh. Lissu ya kuingia barabarani ikitolewa naona kimya na maneno matupu tupeni location watu tukinukishe.
Sema neno baba😅 kabla hasira hazijapoa au mtangulize waziri mkuu mbowe aongoze mapamano kuelekea ikulu
 
Kuna watu hawataamini ila kabla Lowasa hajaletwa sisiemu mie nilikua mdau mzuri sana wa CHADEMA. Chama kilikua kinaenda vizuri sana chini ya kamanda slaa.. walipompokea lowasa nikakata tamaa na kutowaamini, na muda huo huo kuna watu wa sisiemu nilikua nawakubali sana kama jpm, hivyo nilipoona upuuzi wa CHADEMA nikamsapoti JPM na wala sijutii..
Mtu yeyote anaweza cheki comments zangu za 2015 kushuka...
 
So what, punje moja kwenye gunia la mchele ikipotea Hakuna madhara, go get your life buddy!!
 
Back
Top Bottom