Kwa uhalali gani mbwa we we makura yalio kamatwa uhuni mlio ufanya acheni ujinga mtaongoza watu wasio wakubali nafsini shenzi kabisaKwa hiyo mnataka kupindua serikali halali iliyochaguliwa na wananchi?
Ruzuku yenu kama mlivyomtibia matibabu Lieu!Kwa nini masikini Amsterdam? Huyu Muzungu kavuta mpunga mrefu sana, ni Mwanasheria ambaye chadema imemlipa kwa kutumia ruzuku yetu, hivyo yeye hana shida hiyo ndiyo kazi yake, ...
😁😁😁😁Daaah toka jana ndio napata internet
Hata dikteta Nyerere alivyo pinduliwa na wanajeshi wazalendo!! Alikimbilia kuomba msaada wa wakoloni wa kiingereza ndio wakamrudisha madarakani!! Hata CCM kudumu madarakani mpaka leo ni kwa vile wamewakabidhi rasilimali zote mabeberu ya ulaya na China!!!Sasa hapo Lissu ndo ameongea nini?
yani yeye atoke ulaya moja kwa moja afike na kuitoa madarakani CCM iliyodumu zaidi ya miaka 20 kwenye nchi?
alafu kibaya zaidi anawaonyesha wazi wananchi kuwa watetezi na wanaomuunga mkono ni watu kutoka nje ya nchi,wakina Armstadam,kwamba yeye ni kibaraka wa wazungu?
alafu eti wampekura huyu lopolopo!?
Lissu na CHADEMA hawa wafahamu wa Tanzania vizuri, anaewafahamu watanzania ni Mange Kimambi tuLissu na Chadema wamejua Hawajui, Huku mitaani ni ngonjera na vifijo. Inabidi Amstadam aje Bongo siku mbili aone
Nyomi nyomi. Kama naiona vile?Very good activists. Amechangamsha uchaguzi 2020. Well done! Tutamiss picha za nyomi na mafuriko ya watu mikutanoni mwako.
Mimi sasa hivi nimeachana na siasa mazima, 2009 nilikuwa na moto si wa kitoto baada ya upuuzi ule wa 2015 nimeamua kuachana kabisa na siasa.Kuna watu hawataamini ila kabla lowasa hajaletwa sisiemu mie nilikua mdau mzuri sana wa chadema. Chama kilikua kinaenda vizuri sana chini ya kamanda slaa.. walipompokea lowasa nikakata tamaa na kutowaamini, na muda huo huo kuna watu wa sisiemu nilikua nawakubali sana kama jpm, hivyo nilipoona upuuzi wa chadema nikamsapoti jpm na wala sijutii..
Mtu yeyote anaweza cheki comments zangu za 2015 kushuka...
Wapiga kura wabaya sanaLeo ni sikukuu hivyo atapaswa kwenda kesho mahakamani.
Nadhani Robert Amsterdam atachukua mikoba ya Kibatala.
Mnapata wapi ujasiri wa kuwategemea mabeberu.Tundu Lissu piga spana mabeberu watume drone mbili tu, kumng'oa huyu jamaa.
Hata wizi wa kura sio huu, jimboni watu wamejindikisha kupiga kura 125,000 kura zimepigwa 400,000.
Halafu wanajiita "WAPENZI WA MUNGU"?
Why? kakukosea nini zito?Nishapitia zote, nishalia sana, nishahuzunika sana hivyo kwangu hakuna jipya, lkn Zito Kabwe kupigwa chini ndicho pekee nilichokuwa nakiombea kwenye huu Uchaguzi hao wengine sijali, ...
2015 waliaribu kila kitu na itachukua muda kurudi ile levo kabla ya kumpokea Lowassa.Mimi sasa hivi nimeachana na siasa mazima ,2009 nilikuwa na moto si wa kitoto baada ya upuuzi ule wa 2015 nimeamua kuachana kabisa na siasa.
We mbwa mnzulumu haki yangu kikatibaAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Watalegea tuHuko tunduma hali ni tete