Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Hahahah kwisha habari yake mfa maji haishi kutapata huuu mi muda wa kuchapa kaxi hiyo imeisha

sent from HUAWEI
 
Utter nonsense, jukwaani hakuna alichotuambia kuhusu maendeleo. Wajipange upya
 
Nyerere amewahi kupinduliwa ?
Lini mbona aliondoka madarakani kiamani kabisa [emoji848][emoji848][emoji848]
Walaumu waliokunyima elimu ya kujua historia ya nchi yako!! Anyway jifunge shanga vizuri, ukashangilie ushindi wa chama chao vizuri!! Ukawashangilie watoto wa Pinda, Lowasa, Kikwete, Makamba, walioshinda ubunge na mtoto wa Mwinyi aliepewa Urais uko Zanzibar!! Ukimaliza kushangilia wakupe pombe ulewe ujifariji!!!
 
Wakuu habari,

Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu.

Hiki ndicho anachokisema (Updates)

-Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari

-Tumefanya kampeni nyigi kuliko zile za mgombea wa Chama cha Mapinduzi

-Msafara wangu wa Kampeni za urais ulikuwa na magari sita tu, magari mawili ya waandishi wa habari, na magari mengine manne, yakiwamo mawili ya walinzi

-Watanzania walitupokea kwa upendo mkubwa, walitupa maji, chakula mafuta
Mkumbusheni tu lissu kuwa kwa Muda alioishi ulaya alijisahau kuhusu unafiki wa wabongo hivyo akajikuta anaamini upambe wa kwenye mikutano ndo uhalisia.

Na akitaka akumbuke unafiki wa Tanzania vizuri Basi mwambieni awambie waingie barabarani kama atawaona.
 
Hakuna mwenye mtu mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na matokeo haya ya kihuni. New way foward is needed ASAP.
Pia mwenye akili timamu hawezi kuwa alikuwa amekaa akisubiri matokeo huku akifikiri kuwa matokeo yaweza kuwa tofauti na haya,chaguzi zote hizo matokeo ya urais huwa yanajulikana hayabadiliki na tatizo linajulikana na hata uchaguzi huu hilo tatizo bado lipo halikutatuliwa ila ajabu watu walikuwa wanajipa matumaini hali ya kuwa hawajatatua tatizo.

Mtu anasifia nyomi mara sijui uchaguzi huu ni tofauti watu wamepitia mateso sana katika hii miaka mitano hivyo lazima ccm ang'oke,haya sasa wanakuja kulalamika kama kawaida.
 
Watanzania bara muda wa kuamka tena ushafika.... piganieni haki zenu. Wa Zanzibari tulishayaanza haya tangu nyuma na mpaka leo hii mapambano yanaendelea. Tutawaonyesha haki inapiganiwa namna gani. Watatuuwa na kutumaliza lakini hatutachukua hata hatua moja kurudi nyuma. Together we stand strong!!! Get up, stand up for your right!!!
 
Lissu, CHADEMA wenzako wamekuangusha! Umefanya ulichoweza lakini cowards hawakuwa hata na uwezo wa kuongea na dunia mara kwa mara kupinga dhulma za wazi. Embu ona hata ballot papers hazijulikaniki zimepritiwa wapi! Uchaguzi gani huo!
Hamna lolote mtafanya! Kesho business as usual.

CHADEMA leadership ni cowards! Mbowe limejificha huko! Eti mwamba tuvushe! Pimbi tu wewe! Umejificha Hai kipindi karibu chote cha campaign! Haya sasa wamekudhulumu yaani!
 
Watanzania bara muda wa kuamka tena ushafika.... piganieni haki zenu. Wa Zanzibari tulishayaanza haya tangu nyuma na mpaka leo hii mapambano yanaendelea. Tatawaonyesha haki inapiganiwa namna gani. Watatuuwa na kutumaliza lakini hatutatachukua hata hatua moja kurudi nyuma. Together we stand strong!!! Get up, stand up for your right!!!
Hakuna kitu kama hicho! Hao watu huku hawapo tuna mang'ombe tu.
 
Aende zake tu akaishi Ubelgiji...watanzania bado wanahitaji kichapo cha miaka mitano tena wajitambue...Nchi ikiwekewa vikwazo ndipo tutajua kuwa kumbe tamu huwa ni chungu...Amefanya kwa nafasi yake...Big up!!!!
 
Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia CHADEMA amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki yao.

Amezitaka jumuia za kimataifa AU, UN, Commonwealth, EU, nchi za Marekani na Ulaya, marafiki, nchi jirani na watu mbalimbali kutoyatambua matokeo hayo.

Amezitaka jumuia za kimataifa kuwachukulia hatua wote waliohusika na kuvurugika kwa uchaguzi wakiwemo viongozi wa NEC, viongozi wa vyombo vya dola wao binafsi na taasisi zao.
Upuuzi mtupu. Imekula kwenu.
 
Amedhurumiwaje sasa,mbona ajaeleza?
watanzania wamemtia adabu huyu kibaraka,tena na bado anazidi kujikuwadisha sijui kwa U.N,U.S,comonwelth yani ndo anazidi kujiaribia kwa watanzania.

ushiriki wake kwenye uchaguzi umewafungua watanzania macho huyo hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba10
 
Lissu bwana ati walituma chakula na mafuta kweli ndo ya kuongea?
Umechomoa sehemu ya sentensi ukapaa nayo hewani kizwazwa kujustify ignorance yako. Rudia kuisoma sentensi nzima ili next time uwe makini ni jukwaa la watu wazima hili.
 
Back
Top Bottom